GE2025 Jerry Muro: Wakikuuliza naendeleaje waambie naendelea vizuri zaidi ya wao

GE2025 Jerry Muro: Wakikuuliza naendeleaje waambie naendelea vizuri zaidi ya wao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Anaaandika Mwanasiasa Jerry Muro kupitia ukurasa wake wa Instagram,. 👇👇

"Wakikuulza naendeleaje waambie naendelea vizuri zaidi ya wao, Tunashukuru kwa mkutano mzuri wa Mgombea Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama cha mapinduzi CCM Mheshimiwa Rais, Dk. Samia Suluhu Hassan katika jimbo la hai mkoa
wa kilimanjaro.

Sisi tumekubaliana kwa kauli moja tarehe 29 October tunakwenda kupiga kura kumchagua Ndugu Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kutuongoza kwa kipindi cha mwaka 2025-2030 kwetu tunaimani kubwa na Samia Suluhu Hassan kwa kazi aliyoifanya na kazi anayokwenda kuifanya kwa kipimdi cha mwaka 2025-2030 kupitia ilani ya chama cha mapinduzi.

Kazi na utu tunasonga mbele"

Pia Soma: GE2025 - Video: Jerry Muro anaonekana hayupo sawa. Ameanza kuongea mwenyewe na afya yake ina mashaka sana

1759409886802.png
 
Anaaandika Mwanasiasa Jerry Muro kupitia ukurasa wake wa Instagram,. 👇👇

Wakikuulza naendeleaje waambie naendelea vizuri zaidi ya wao, Tunashukuru kwa mkutano mzuri wa Mgombea Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama cha mapinduzi CCM Mheshimiwa Rais, Dk. Samia Suluhu Hassan katika jimbo la hai mkoa
wa kilimanjaro.

Sisi tumekubaliana kwa kauli moja tarehe 29 October tunakwenda kupiga kura kumchagua Ndugu Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kutuongoza kwa kipindi cha mwaka 2025-2030 kwetu tunaimani kubwa na Samia Suluhu Hassan kwa kazi aliyoifanya na kazi anayokwenda kuifanya kwa kipimdi cha mwaka 2025-2030 kupitia ilani ya chama cha mapinduzi.
Nailazimisha furaha, ingawa moyoni nna majonzi - Lady Jay Dee
 
Huyu jamaa ni member humu,Y mmemfungulia Uzi juzi Leo anarudisha madongo ya kujikaza kisabuni!?
 
Back
Top Bottom