Mahojiano ya kuhusu nini mzee kamaa sio siri?Na ilikuwa ni kipindi hiki akiwa na kesi?Nilikutana naye Dar akanihoji, sijaangalia kama mahojiano hayo yalirushwa TBC1 au la!
hukumpa kitu kidogo mkuu.Nilikutana naye Dar akanihoji, sijaangalia kama mahojiano hayo yalirushwa TBC1 au la!
Ina maana hata kuelezea yale unayoyaona inahitaji elimu ya chuo kikuu, Mbona wasichukuliwe hatua TBC waliomuajiri yeye asiye na taaluma kama ulivyomuita? if that is the fact unataka kutueleza kwamba walewaleee ndio wamemnaniihii kwa sababu aligusa nanihii za kina nanihii?.Kilichofanyika ni halali kabisa kwani kila kitu kina ethics zake . Ndio maana hapa ma engineer tunakuwa registered erb, vile madaktari, wanasheria, wahasibu na hata waandishi. Sasa jery alikuwa ana practice kitu asichosomea na hana taaluma nacho ni bora sasa wamuweke kwenye taaluma yake na kama anataka uandishi basi ana nafasi kubwa ya kujifunza taaluma ya uandishi kisha kupata licence ya ku practice. Ili aweze kufanya kwa ufanisi zaidi.
Alikuhoji kuhusu nini?Nilikutana naye Dar akanihoji, sijaangalia kama mahojiano hayo yalirushwa TBC1 au la!
Ina maana hata kuelezea yale unayoyaona inahitaji elimu ya chuo kikuu, Mbona wasichukuliwe hatua TBC waliomuajiri yeye asiye na taaluma kama ulivyomuita? if that is the fact unataka kutueleza kwamba walewaleee ndio wamemnaniihii kwa sababu aligusa nanihii za kina nanihii?. We sema tu sometime special things need special actions to get special results for special people. (You will get to know it when the wind stop moving).