Jerry Muro, wapi alipo?

Jerry Muro, wapi alipo?

Kilichofanyika ni halali kabisa kwani kila kitu kina ethics zake . Ndio maana hapa ma engineer tunakuwa registered erb, vile madaktari, wanasheria, wahasibu na hata waandishi. Sasa jery alikuwa ana practice kitu asichosomea na hana taaluma nacho ni bora sasa wamuweke kwenye taaluma yake na kama anataka uandishi basi ana nafasi kubwa ya kujifunza taaluma ya uandishi kisha kupata licence ya ku practice. Ili aweze kufanya kwa ufanisi zaidi.
Ina maana hata kuelezea yale unayoyaona inahitaji elimu ya chuo kikuu, Mbona wasichukuliwe hatua TBC waliomuajiri yeye asiye na taaluma kama ulivyomuita? if that is the fact unataka kutueleza kwamba walewaleee ndio wamemnaniihii kwa sababu aligusa nanihii za kina nanihii?.
We sema tu sometime special things need special actions to get special results for special people. (You will get to know it when the wind stop moving).
 
kusema kweli tz mwiko daima kama unapenda kuishi
Unaweza fanya kama firstlady1 alivyosema
 
Ina maana hata kuelezea yale unayoyaona inahitaji elimu ya chuo kikuu, Mbona wasichukuliwe hatua TBC waliomuajiri yeye asiye na taaluma kama ulivyomuita? if that is the fact unataka kutueleza kwamba walewaleee ndio wamemnaniihii kwa sababu aligusa nanihii za kina nanihii?. We sema tu sometime special things need special actions to get special results for special people. (You will get to know it when the wind stop moving).

ndugu yangu ndio maana kukawa kuna kitu kinaitwa shule na taalum. Sio kama kila anayejua kuhesabu basi awe mhasibu, au kila mtu anayeweza kujenga nyumba basi tumwite Mhandisi au hata wale wapiga porojo basi wawe watangazaji.

Kila taaluma ina miiko yake ambayo inafamika wazi kwa wale wenye taaluma tu.

Tanzania kuna waandishi wengi wahabari wasio na taaluma hiyo kitaalamu tunasema UPE ( uandishi pasipo Elimu) hawa ndio wanaoipeleka nchi pabaya kwani kalamu ya mwandishi ni silaha kali sana kuliko bunduki.

Tunatarajia mwandishi makini ajue wajibu wake ni kuburudisha, kuelimisha na kuhabarisha jamii bila upendeleo.

Ok all in all Jery ni kijana mdogo ana nafasi kubwa sana ya kujifunza kwa kuingia darasani ili aweze kuwa mwandishi kitaaluma. Nataraji akipata taaluma ya Uhandishi wa habari ataacha mengi na atajifunza mengi sana na kufaidi taaluma hiyo.
 
hivi kweli mwenzetu hatujui aliko,hata kesi yake inaendaje.Tusaidieni jamani sisi tupo matakoni mwa nchi hii habari tunazipata hapa.
 
Hakimu Gabriel Mirumbe wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Tarehe 27 agosti 2010 anatarajia kutoa maamuzi ya madai yaliyotolewa na upande wa utetezi katika kesi inayomkabili Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Jerry Muro kwamba alilazimishwa kusaini maelezo ya onyo.
Mungu msaidie Jerry Muro.
 
Umasikini uko wapi hapo!

Mambo ya Global Publishers haya! Udaku Udaku
 
Tuliokuwepo nje ya hilo tujifunze zaidi kuliko kuendelea kusikitikia jambo ambalo limeshatokea.
Tujifunze kutafakari mambo kabla ya kujiingiza.
 
Mbona unatuchanganyia habari. Maskini kwa lipi? Ni mmoja kati ya watuhumiwa aliyedai kwamba alikuwa coerced kusema kwamba walitenda kosa ili aachiwe waendelee na mlengwa wao Jerry. Kwani hilo ni jipya kwa polisi wa Bongo?
 
Mtoa hoja bado hajajua maana ya kufanya homework vizuri.
asamehewe kwa leo
 
Wa mmoja
user-online.png

Senior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date Tue Aug 2009
Location Tanzania
Posts 83
Thanks : 0
Thanked 11 Times in 6 Posts
Rep Power 22
hapo kwenye red anaonekana jinsi alivyo mpweke wa kipekee
 
Back
Top Bottom