Jerry Muro, Yanga Haina Fedha Anazo Manji

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
40,455
Reaction score
73,145
Tumemsikia Muro Jana akitamba pamoja na mambo mengine akionyesha kuwa Yanga ni club yenye uwezo wa kifedha kuliko Simba tena kwa lugha ya dharau kubwa.

Anachoshindwa kuelewa in kuwa Yanga pamoja na kuwa in club ya wanachama Pesa yake yote na pengine hata mshahara wake in fedha za mfukoni mwa Manji na huwa ana hiari ya kupanga matumizi.

Ndio maana hata kikatiba muda wa Uchaguzi umepita wanashindwa kuitisha mwingine mpaka Manji atakapo taka mwenyewe. Hilo sio jambo la fahari kwa wenye timu (wanachama).

Tofauti na watani wao ambao tumeona wameanzisha na miradi kama duka la vifaa vya michezo na hao marafiki wa Simba huwa wanaisaidia timu Nayo inapanga matumizi kwa taratibu za club sio MTU mmoja.

Aache matambo ya kimasikini hayo.
 
Anachoshindwa kuelewa in kuwa Yanga pamoja na kuwa in club ya wanachama Pesa yake yote na pengine hata mshahara wake in fedha za mfukoni mwa Manji na huwa ana hiari ya kupanga matumizi. Ndio maana hata kikatiba muda wa Uchaguzi umepita wanashindwa kuitisha mwingine mpaka Manji atakapo taka mwenyewe. Hilo sio jambo la fahari kwa wenye timu (wanachama).
Tofauti na watani wao ambao tumeona wameanzisha na miradi kama duka la vifaa vya michezo na hao marafiki wa Simba huwa wanaisaidia timu Nayo inapanga matumizi kwa taratibu za club sio MTU mmoja.
Aache matambo ya kimasikini hayo

Hivi simba na yanga zimekwisha cheza?
 
Hivi simba na yanga zimekwisha cheza?
Tumetoka uwanjani sasa matambo badala ya kuwa ya mpira yamekuwa ya hela, eti Kocha wetu anasafiri na KLM wengine na Najimunisa. Sasa hiyo KLM tiketi ya club au mfuko wa wajamaa ambaye lolote hapingwi wakati no kiongoxi wa kuchaguliwa?
 
Simba mnaendeshwa na Hans Pope kila siku kama hamtaki kocha hata awe vipi anaondoka mnasema hamumtegemei mtu?hawa wote maskini hawana tofauti tofauti labda nyinyi tajir wenu mjanja mjanja anakopesha kwa riba
 
Tumemsikia Muro Jana akitamba pamoja na mambo mengine akionyesha kuwa Yanga ni club yenye uwezo wa kifedha kuliko Simba tena kwa lugha ya dharau kubwa.

Anachoshindwa kuelewa in kuwa Yanga pamoja na kuwa in club ya wanachama Pesa yake yote na pengine hata mshahara wake in fedha za mfukoni mwa Manji na huwa ana hiari ya kupanga matumizi.

Ndio maana hata kikatiba muda wa Uchaguzi umepita wanashindwa kuitisha mwingine mpaka Manji atakapo taka mwenyewe. Hilo sio jambo la fahari kwa wenye timu (wanachama).

Tofauti na watani wao ambao tumeona wameanzisha na miradi kama duka la vifaa vya michezo na hao marafiki wa Simba huwa wanaisaidia timu Nayo inapanga matumizi kwa taratibu za club sio MTU mmoja.

Aache matambo ya kimasikini hayo.

Vuvuzela lile; linatia aibu sana!
 
Tumetoka uwanjani sasa matambo badala ya kuwa ya mpira yamekuwa ya hela, eti Kocha wetu anasafiri na KLM wengine na Najimunisa. Sasa hiyo KLM tiketi ya club au mfuko wa wajamaa ambaye lolote hapingwi wakati no kiongoxi wa kuchaguliwa?
Hihihihihiiii na wakati huu mmepata kiboko yenu,Haji Manara na ujanja ujanja wake wote kafyata mkia kwa Muro,imebidi nyie ndio muanze kulia lia kwenye social media.
 
huwezi kusema simba inanafuu kuliko yanga,wote matatizo yaleyale wewe hilo duka la michezo nenda kaulize linaingiza shingapi kwa mwezi na shingapi inakwenda klabuni,kama haujakuta hili ni duka la mmoja wa member wa friends of simba..!!alafu unaisema yanga sijui hela yote inatoka kwa manji sijui ndomana haondoki madarakani,hebu nikuulize pale simba hans pope ana muda gani? sikila siku anabadiri mikao tu,alafu pale simba kila mchezaji si ana boss wake,huyu analipwa na Mo,huyu na aveva,huyu analipwa na Simba ukawa makasheshe yaleyale..!! Honestly japo kuwa ni shabiki wa Yanga ila nachukizwa na uendeshwaji wa hizi timu
 
Fahari ya Simba ni kuifunga Yanga

Fahari ya Yanga ni kuifunga Simba
 
Tumemsikia Muro Jana akitamba pamoja na mambo mengine akionyesha kuwa Yanga ni club yenye uwezo wa kifedha kuliko Simba tena kwa lugha ya dharau kubwa.

Anachoshindwa kuelewa in kuwa Yanga pamoja na kuwa in club ya wanachama Pesa yake yote na pengine hata mshahara wake in fedha za mfukoni mwa Manji na huwa ana hiari ya kupanga matumizi.

Ndio maana hata kikatiba muda wa Uchaguzi umepita wanashindwa kuitisha mwingine mpaka Manji atakapo taka mwenyewe. Hilo sio jambo la fahari kwa wenye timu (wanachama).

Tofauti na watani wao ambao tumeona wameanzisha na miradi kama duka la vifaa vya michezo na hao marafiki wa Simba huwa wanaisaidia timu Nayo inapanga matumizi kwa taratibu za club sio MTU mmoja.

Aache matambo ya kimasikini hayo.
Mkuu mkia fc, mpaka sasa hayo maduka yameingiza shillingi ngapi?
 
Hicho kistoo mlichofungua nalo ni Duka?
 
Malumbano ya mashabiki na wapenzi wa mpira Tanzania mhh utajua hapa soccer kupiga hatua lanlabda tuiingie ubia na FA ya Spain
 
Back
Top Bottom