Jerry Muro, Yanga Haina Fedha Anazo Manji

Jerry Muro, Yanga Haina Fedha Anazo Manji

Simba mnaendeshwa na Hans Pope kila siku kama hamtaki kocha hata awe vipi anaondoka mnasema hamumtegemei mtu?hawa wote maskini hawana tofauti tofauti labda nyinyi tajir wenu mjanja mjanja anakopesha kwa riba
Dah!! Baba hilo neno, wanachofanya ni sawa na Nyani kuchekana Mikia tu.
Hi hi hi hi hi...wako mrefu (Mkia),akigeuka akiangalia wake nae hali moja.
Hatuchekani,sote tu arosto. Hatuna kitu, lakini lililo zito kabisa juzi wamekula 2-0. Zilizobaki mbwe mbwe tu.
 
Kombora za Gerry hazistahimiliki mkuu,inabidi walie lie tu maana hawana jinsi.
Nifah wewe unadhani no jambo la fahari dume zima linabana pua kutamba eti Kocha wetu kaja na KLM wakati anajua fedha zimetoka mfukoni kwa mwanamme mwingine? Tena usikute hata yeye wakati mwi gine anawekewa mafuta kwenye gari!
Kufungwa haina shida kama angetambia hilo, huo ndio utani wa jadi lakini hela! No.
Hizi timu zote masikini lakini utakuwa ujinga kujisifu kwa hela za watu walio clubuni. Ni dalili za ulofa na utumwa
 
Hihihihihiiii na wakati huu mmepata kiboko yenu,Haji Manara na ujanja ujanja wake wote kafyata mkia kwa Muro,imebidi nyie ndio muanze kulia lia kwenye social media.
manara aka minara ya voda hamuwez muro.minara hana elimu,muro elimu ipo.haujasikia kuwa minara anakwenda polis kushtak?
 
Back
Top Bottom