Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaah bado tunakwea pipa.Mbona bado tuko kimataifa au hufatilii mambo,Azam anarudi sisi tunacover ile nafasi yake na tutasonga kwenda hatua ya makundi.yanga bado ipo ipo sana kimataifa kama hupendi kula ndimu.
Huyu msemaji wa vyura fc ajue waarabu hawanunuliki na wenye rekodi nzuri kwa waarabu ni simba tu hivyo aache kuropoka Sana.
Wa matopeni inabidi waendelee kuisoma number....,ngoja tusikilize majibu toka Misri around saa tisa tujue tunakwea pipa kuelekea wapi.Yaah bado tunakwea pipa.
Tofauti ni wazi labda wapande ya kwenda zenj.Wa matopeni inabidi waendelee kuisoma number....,ngoja tusikilize majibu toka Misri around saa tisa tujue tunakwea pipa kuelekea wapi.
Ni ushauri mzuri, Ni kupoteza Muda kushabikia hizo timu maneno, sijasikia timu zinazochukua makombe wakijiita majina ya wakimataifa, ila sisi washirika tuna tambo kipita kiasi. Tukitolewa tunasema tumejitahidi, maana tulienda tukiwa Na uhakika wa kushindwa, shabashi soka la bongo.Haitafika popote. Fanya yako ndugu. Labda kama ni kombe la vigodoro.
yanga oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeHatimae yametimia Yanga yatupwa nje mashindano ya Klabu bingwa Afrika.Kuna jamaa kasema eti Yanga kafa kiume napenda kumwambia Jerry Muro kuwa Yanga Kufa ni Kufa hakuna kiume wala kike
Pipa linaelekea angola sasa.tarehe 7 MAY game ya kwanza na GD ESPERANCE YA ANGOLA TAIFA.Tofauti ni wazi labda wapande ya kwenda zenj.
Shukran kwa taarifa ndugu yangu tukaze buti.Pipa linaelekea angola sasa.tarehe 7 MAY game ya kwanza na GD ESPERANCE YA ANGOLA TAIFA.
ASANTE MKUU-DAIMA MBELE.Shukran kwa taarifa ndugu yangu tukaze buti.
mwenye asili ya matusi haachi nashangaa ushabiki unaishia matusi jitu zima mtu unaandika matusiYanga imekufa kike,imebana mwishowe imemwachia mwarabu amemfanyia kitu mbaya