Jerry Murro una kismart sana ila ulikuwa unajiona umekamilika

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Leo nimekumbuka kipindi chako kilikuwa ITV sikumbuki jina kipindi kile ukifichua fichua mpaka wakakutia disprini.

Baadae ukaibuka Yanga nako ukawa DJ kushunundu.riziki si mwajuma japo wote ni waislamu ukaja kupata ukuu wa wilaya.

Bwana Jerry Murro una kismart sana ila muda mwengine nilipokujua ulikuwa unajiona umekamilika wakati sisi ndio wenzako watu wa kawaida.

Vijana wengi tunakuwa tuna kasi kushinda malikia wa sheba.

Leo na kusalimia utakuwepo pale posta mpya kijiweni mchana
 
Sijawai kuona watu wana wivu kama wanaume.
Yaani mwenzake asipate.ndo maana ushirikina hauishi nchi hii full kulogana.
Kwani akipata shida wewe unafaidi nini??
Tafuta hela wewe.ungekuwa na hela cheo cha ukuu wa wilaya ni mambo madogo sana wala usingeona ni issue.
 
Kwani mleta uzi umemuelewa dada???
 
Tafuta hela wewe.ungekuwa na hela cheo cha ukuu wa wilaya ni mambo madogo sana wala usingeona ni issue
You nailed it Mamaa, ukiwa na pesa huna limitations as long as huvunji sheria!!!
-Ibiza utaenda
-Private jet uta own
-Utaishi nyumba kubwa kwenda juu, chini au pembeni
-Private security unit unaajiri etc...
Mjubs atafute hela apunguze makasiriko!
 
Kaishakuwa mkuu wa wilaya unadhani takuwa njaa kama sisi, labda awe akili mbovu ndio atarudi chini.

Tutafute pesa, chuki hazisaidii kaka.
 
Mwakani utashangaa ni rc dsm,hapo ndio utakumbuka yale maneno ya"wapendeni adui zenu"maana Mungu hatoki ukoo wenu,na CCM sio binamu yenu[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Humjui vizuri huyu. Tunza maneno haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…