Jerry Murro una kismart sana ila ulikuwa unajiona umekamilika

Jerry Murro una kismart sana ila ulikuwa unajiona umekamilika

Leo nimekumbuka kipindi chako kilikuwa ITV sikumbuki jina kipindi kile ukifichua fichua mpaka wakakutia disprini.

Baadae ukaibuka Yanga nako ukawa DJ kushunundu.riziki si mwajuma japo wote ni waislamu ukaja kupata ukuu wa wilaya.

Bwana Jerry Murro una kismart sana ila muda mwengine nilipokujua ulikuwa unajiona umekamilika wakati sisi ndio wenzako watu wa kawaida.

Vijana wengi tunakuwa tuna kasi kushinda malikia wa sheba.

Leo na kusalimia utakuwepo pale posta mpya kijiweni mchana
Mtu kama anaringia mafanikio yake, muache aringe. Mafanikio huwa hayaji hivihivi. Ni kwamba mtu ameyaandaa kwa uchakarikaji wake. Hususani kwa mtu kama Jerry Muro ambaye hana God Father Yanga au CCM. Labda pale ITV ungeweza kusema Mengi ni Mchagga mwenzie, lakini kwa Yanga na CCM sijawahi kumsikia kigogo yoyote kwenye taasisi hizo anayeitwa Muro.

Kwa hiyo kama unamuona kijana anaringa kwa mafanikio yake ya kupata umaarufu muache aringe. Wewe angalia ya kwako hangaika nayo na wewe ufike sehemu za kuwa maarufu.
 
Hivi hili nalo ni jambo la kufurahia!?,au mna ugomvi binafsi?
Je kesho ukisikia kawa mkuu wa mkoa?

Wapi nilipoandika kuna ugonvi. ufanye wewe utake yasisemwe. kwahiyo hakuwa mwandishi wa habari !,hakuwa yanga !,hakuwa Mkuu wa wilaya !.

umeona kunasehemu nimepunguza au ni chawa wake
 
Sijawai kuona watu wana wivu kama wanaume.
Yaani mwenzake asipate.ndo maana ushirikina hauishi nchi hii full kulogana.
Kwani akipata shida wewe unafaidi nini??
Tafuta hela wewe.ungekuwa na hela cheo cha ukuu wa wilaya ni mambo madogo sana wala usingeona ni issue.
Halafu utawasikia ooh WANAWAKE hawapendani..
 
Mwenzako anachimba dhahabu ya kutosha huko Ikungi ,Mang'onyi
Wewe endelea kujitafuta .
 
Halafu utawasikia ooh WANAWAKE hawapendani..

Na kweli mpendani. yani leo mfano sabaya na kufanya yote mnayosikia mnaona fresh tu. au yajakupata .

Fanya mazuri watu wakupe mazuri.jishushe kwa kila mtu utazikwa na watu sio na mtu
 
Unampa pole mtu ambaye alipata cheo (ambacho hata wewe unaona alipata kwa Bahati / Kismart) na sasa hivi kajitengenezea Pensheni tayari ?

Na wale wanaonyonywa matozo na nchi yao kuuzwa utawapa nini ?

Duh kweli Dunia tambala bovu Kuku anaweza kumuonea huruma binadamu anavyohangaika kumpatia Pumba / Chakula wakati in real sense yeye kuku ndio wa kuhurumiwa....
 
Huyu jamaa ni kweli ana bahati ila kiukweli apunguze mihemko na kuvimba na kale ka kujiona bora sana.
Akomae maisha sio UDC peke yake
 
Jelly mlo kaliwa kichwa... I hope akaunti yake benki inasoma... Kinyume na hapo, atapigika sana huku kitaa...
 
Leo nimekumbuka kipindi chako kilikuwa ITV sikumbuki jina kipindi kile ukifichua fichua mpaka wakakutia disprini.

Baadae ukaibuka Yanga nako ukawa DJ kushunundu.riziki si mwajuma japo wote ni waislamu ukaja kupata ukuu wa wilaya.

Bwana Jerry Murro una kismart sana ila muda mwengine nilipokujua ulikuwa unajiona umekamilika wakati sisi ndio wenzako watu wa kawaida.

Vijana wengi tunakuwa tuna kasi kushinda malikia wa sheba.

Leo na kusalimia utakuwepo pale posta mpya kijiweni mchana
Ashawahi kuja hapa Posta umachingani kwetu kusapoti harakati kwa kununua kwa machinga wenzangu. Vyeo vya kisiasa si vya kujivunia sana ila natumaini hatatoka nje ya reli.

Ila kama naye alishawahi kuwaumiza wapinzani (ChaDeMa) kwa zile kesi uchwara huko wilayani kwake, lolote baya likimpata ni haki yake.
 
Back
Top Bottom