Jerry Murro una kismart sana ila ulikuwa unajiona umekamilika

Sasa jamani watanzania mmefikia hata hamtaki kusalimiwa !
 
Mkuu Chizcom:
Ulichokiandika ni cha aibu sana na kimesadifu jinalo.
 
Wewe demu kumbe upogo humu kati. Habari ya masiku.
 
Usichanganya katia ya Uvulana na Uanaume,mleta mada ni Mvulana,Wanaume hatupo hivyo.
 
Jerry Muro awe au asiwe Mkuu wa MKOA/Wilaya haijawahi kukuongezea wala kukupunguzia kitu.
Hebu tupiganie KATIBA mpya itakayoleta MAGAVANA wa kuchaguliwa na kuondokana na TEUZI hizi za kina Muro..

We should HATE the SYSTEM not WATEULIWA...
 
Utakua mjinga sana Kama utapewa nafasi ya kuteuliwa na ukazubaa usitengeneze mazingira mazuri ya kuishi bila kutegemea huo uteuzi maana aliekuteua saa yeyote atakung'uoa hapo, naimani hilo siyo anguko ila atakua kapata muda wa kusimamia biashara zake zingine
 
Nani ana wivu unajua au unamjua !.
mda mwengine ujatukanwa unasemwa umetukwana na ukitukwana utasema nini
 
Jerry Muro awe au asiwe Mkuu wa MKOA/Wilaya haijawahi kukuongezea wala kukupunguzia kitu.
Hebu tupiganie KATIBA mpya itakayoleta MAGAVANA wa kuchaguliwa na kuondokana na TEUZI hizi za kina Muro..

We should HATE the SYSTEM not WATEULIWA...

akiwa karibu yako ndio utaongea haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…