PreGE2025 Jerry Silaa: Amani tuliyonayo watanzania ni tunu kubwa ambayo inatakiwa kutunzwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry Silaa(Mb), amesema kuwa amani tuliyonayo watanzania ni tunu kubwa ambayo inatakiwa kutunzwa.

Waziri Silaa ameyasema hayo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika tamasha la Mtoko wa Pasaka ambalo linafanyika katika ukumbi wa The super Dome jijini Dar es salaam.

Amesema kuwa tamasha hilo ambalo lina kauli mbiu ‘Kwa maombi utashinda’ni kielelezo cha jitihada za kuendelea kuitunza amani tuliyonayo.

“Ukiangalia hata huko mitandaoni utaona adha ambayo wanaipata wananchi ambao nchi zao zina machafuko na hakika utaona kuwa amani tuliyonayo si ya kuichezea” amesema Silaa.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Tamasha la Mtoko wa Pasaka linafanyika usiku huu katika ukumbi wa The super Dome jijini Dar es salaam ambapo wasanii mbalimbali wa muziki wa injili akiwemo Rose Muhando,Christina Shusho,Solomon Mukubwa, na wengine wanatarajiwa kuhudumu katika tamasha hilo ambalo pia linaenda sambamba na maombi ya kuliombea Taifa.

Screenshot 2025-04-20 215708.png
 
HAKI HAKI HAKI .

yaan Kwa Sasa mwanaCCM anapozungumza Amani.

Jibu lake ni HAKI HAKI HAKI.

Wasitufanye wajinga kisa wanahofia Ugali wao naona wanaungana Kwa nguvu kwelikweli lakini hawatashinda.
 
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry Silaa(Mb), amesema kuwa amani tuliyonayo watanzania ni tunu kubwa ambayo inatakiwa kutunzwa.

Waziri Silaa ameyasema hayo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika tamasha la Mtoko wa Pasaka ambalo linafanyika katika ukumbi wa The super Dome jijini Dar es salaam.

Amesema kuwa tamasha hilo ambalo lina kauli mbiu ‘Kwa maombi utashinda’ni kielelezo cha jitihada za kuendelea kuitunza amani tuliyonayo.

“Ukiangalia hata huko mitandaoni utaona adha ambayo wanaipata wananchi ambao nchi zao zina machafuko na hakika utaona kuwa amani tuliyonayo si ya kuichezea” amesema Silaa.

Tamasha la Mtoko wa Pasaka linafanyika usiku huu katika ukumbi wa The super Dome jijini Dar es salaam ambapo wasanii mbalimbali wa muziki wa injili akiwemo Rose Muhando,Christina Shusho,Solomon Mukubwa, na wengine wanatarajiwa kuhudumu katika tamasha hilo ambalo pia linaenda sambamba na maombi ya kuliombea Taifa.

..kugomea kufanya Reforms ktk Tume na mifumo yetu ya uchaguzi ni kuchezea amani.

..Rais Samia aache kuchezea amani yetu kwa kuendelea kung'ang'ania tume mbovu ya uchaguzi.
 
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry Silaa(Mb), amesema kuwa amani tuliyonayo watanzania ni tunu kubwa ambayo inatakiwa kutunzwa.

Waziri Silaa ameyasema hayo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika tamasha la Mtoko wa Pasaka ambalo linafanyika katika ukumbi wa The super Dome jijini Dar es salaam.

Amesema kuwa tamasha hilo ambalo lina kauli mbiu ‘Kwa maombi utashinda’ni kielelezo cha jitihada za kuendelea kuitunza amani tuliyonayo.

“Ukiangalia hata huko mitandaoni utaona adha ambayo wanaipata wananchi ambao nchi zao zina machafuko na hakika utaona kuwa amani tuliyonayo si ya kuichezea” amesema Silaa.

Tamasha la Mtoko wa Pasaka linafanyika usiku huu katika ukumbi wa The super Dome jijini Dar es salaam ambapo wasanii mbalimbali wa muziki wa injili akiwemo Rose Muhando,Christina Shusho,Solomon Mukubwa, na wengine wanatarajiwa kuhudumu katika tamasha hilo ambalo pia linaenda sambamba na maombi ya kuliombea Taifa.
Kama haki ipo kwanini kulikuwa na migogoro alipokuwa wizara ya ardhi amejizima data?
 
Slaa acha utapeli ukonga barabara hazipitiki

Hakuna amani bila haki

Haki kwanza amani badae
 
Slaa acha ujinga wako. Mahandaki ya Barabara ya Moshi Bar hayana uhilusiano na Amani. Timiza wajibu wako
 
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry Silaa(Mb), amesema kuwa amani tuliyonayo watanzania ni tunu kubwa ambayo inatakiwa kutunzwa.

Waziri Silaa ameyasema hayo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika tamasha la Mtoko wa Pasaka ambalo linafanyika katika ukumbi wa The super Dome jijini Dar es salaam.

Amesema kuwa tamasha hilo ambalo lina kauli mbiu ‘Kwa maombi utashinda’ni kielelezo cha jitihada za kuendelea kuitunza amani tuliyonayo.

“Ukiangalia hata huko mitandaoni utaona adha ambayo wanaipata wananchi ambao nchi zao zina machafuko na hakika utaona kuwa amani tuliyonayo si ya kuichezea” amesema Silaa.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Tamasha la Mtoko wa Pasaka linafanyika usiku huu katika ukumbi wa The super Dome jijini Dar es salaam ambapo wasanii mbalimbali wa muziki wa injili akiwemo Rose Muhando,Christina Shusho,Solomon Mukubwa, na wengine wanatarajiwa kuhudumu katika tamasha hilo ambalo pia linaenda sambamba na maombi ya kuliombea Taifa.

View attachment 3310546

Machawa huwa hawana akili.

Hivi kuteka na kuua wakosoani ndiyo amani?
 
Jerry, hakuna amani, watu wana fundo kubwa rohoni. It is a matter
 
Yaani hutaki kumtendea mwingine haki huku unataka amani, hii ni ngumu!
Yaani hata akiamua kukaa kimya jua hapo bado hakuna amani...ni anatafakari afanyaje kujikwamua na hiyo dhulma!.
 
Back
Top Bottom