chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Sehemu yenye mfumo rasmi ndio kipimo tosha cha umahiri. Leo nimeona habari kwamba Jerry Silaa alikuwa ana ziara jimbo la Mkalama kuzindua mradi wa maji, kituo cha afya, na chuo cha ufundi jimbo la Nkalama.
Najua kwamba Wizard hizo zina miradi mingi kiasi kwamba ni ngumu kwa mawaziri wake kutembelea kila mradi. Na kwa kasi ya awamu ya sita, inaweza kuhitaji waziri atumie miaka miwili mpaka mitano mfululizo kumaliza miradi yote.
Mini kimemkumba Jerry? Wizara imekuwa fupa gumu kwa kuwa haina na haitaki porojo? Katika Wizara yake ya zamani alishauriwa aunde mifumo, yeye akawa bize kukata mitaa na kamera na kuwapa wananchi matumaini hewa.