Elections 2015 Jerry Silaa apigwa chini uchaguzi Ukonga kurudiwa

Elections 2015 Jerry Silaa apigwa chini uchaguzi Ukonga kurudiwa

brother aloy

Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
22
Reaction score
4
Uchaguz mdogo jimbo la ukonga utarudiwa apo kesho kutokana na wakwanza kugubikwa na rushwa.
1439351600218.jpg
 
Sasa hapo kapigwaje? Si unarudiwa na yeye akiwamo? ?
 
Haitasaidia labda warudie na kwa Profesa muhongo, Nape na Mwigulu maana wote wamepita kwa rushwa na matokeo kubadilishwa hapo kidogo watakuwa wamefanya kazi
 
Uchaguz mdogo jimbo la ukonga utarudiwa apo kesho kutokana na wakwanza kugubikwa na rushwa.

wanarudia majimbo ya rafiki zao ili waweze kuwaibia kura, wana CCM ukonga msikubali japo huyo Patel Mhindi pia sina imani nae manake lazima atakua na passport mbili, lakini kaeni macho watoeni hawa watu ndani ya chama chenu wanawamalliza kweupo.
 
Dogo alishinda kimazingaombwe sana...
Hebu fikiria kama kijana kama huyu leo
anakuwa memba wa magamba hivi unadhani
atakuja kuwa na tabia gani uzeeni...?

attachment.php
 
Huyu anafanyiwa mizengwe kutokana na ukaribu alionyeshwa kabla ya raisi hajakatwa.

Sasa hivi wako kwenye mkakati wa kisasi.

Lakini akipewa Rameshi Patel, kiulani... Ukawa hawana mpinzani.

Hatabaguliwa ,bali wananchi wataamua .
 
Back
Top Bottom