ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ukishaona kauli aina hizi ujue anaenda kuwa kiongozi fisadi kuliko woteNgoja tuone maana umekuja na matamko mengi sana.
-
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa, amewataka waliovamia maeneo ya wazi kuanza kuondoka mara moja huku akiwaelekeza viongozi na watendaji wa wizara hiyo, wenye mamlaka ya kusimamia sheria kuhakikisha ndani ya siku 100 maeneo hayo yanakuwa wazi.
Silaa ameyasema hayo wakati akizumgumza na Menejimenti ya Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi mara baada ya kukabidhiwa ofisi na mtangulizi wake, Dkt. Angeline Mabula, ambapo pia amewataka watendaji kuhakikisha wanatatua migogoro ya ardhi ndani ya siku 100.
Aanze na fuel filling stations zote zilizoibuka ghafla kwenye road reserves katika mji wa Dar hasa along Morogoro road baada tuu ya JPM kuondoka Duniani.Ngoja tuone maana umekuja na matamko mengi sana.
-
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa, amewataka waliovamia maeneo ya wazi kuanza kuondoka mara moja huku akiwaelekeza viongozi na watendaji wa wizara hiyo, wenye mamlaka ya kusimamia sheria kuhakikisha ndani ya siku 100 maeneo hayo yanakuwa wazi.
Silaa ameyasema hayo wakati akizumgumza na Menejimenti ya Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi mara baada ya kukabidhiwa ofisi na mtangulizi wake, Dkt. Angeline Mabula, ambapo pia amewataka watendaji kuhakikisha wanatatua migogoro ya ardhi ndani ya siku 100.
Watu hayo maeneo wameshajenga majumba wengine wameshusha maghorofa kabisa wanarudishaje kwa mfano?Kama wana akili Wakiyarudisha yawe maeneo ya mapumziko na jogging 🏃♂️
Yaani kuna majitu yenye kadi yamejigawiwa mpaka maeneo ya polisi
Shame on you guys
Kwahiyo ina maana ile Petrol station yangu niivunje au...?Ngoja tuone maana umekuja na matamko mengi sana.
-
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa, amewataka waliovamia maeneo ya wazi kuanza kuondoka mara moja huku akiwaelekeza viongozi na watendaji wa wizara hiyo, wenye mamlaka ya kusimamia sheria kuhakikisha ndani ya siku 100 maeneo hayo yanakuwa wazi.
Silaa ameyasema hayo wakati akizumgumza na Menejimenti ya Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi mara baada ya kukabidhiwa ofisi na mtangulizi wake, Dkt. Angeline Mabula, ambapo pia amewataka watendaji kuhakikisha wanatatua migogoro ya ardhi ndani ya siku 100.
Ohooo ! Lakini kwa vyovyote vile wavamizi watakuwa ni watu wazito wenzie !Huyu atanuka Sasa hivi. Hivi hajui kuwa waliovamia maneno ya wazi ni hao hao waliopendekeza ateuliwe na kupewa huo uwaziri?
Ndugu jamaa na marafiki wa familia ya yule rafiki yake aliyempigia debe mpk kupewa uwaziri ndiyo wanaongoza kwa kupora maeneo ya wazi. Narudia tena, Jerry Slaa atanuka Sasa hivi.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Matamko.comHakuna jipya chini ya jua, wote huanza hivyo... Kwa mbwembwe.
Hilo ni jambo la kawaida kwa mteule mpya,
Kama vile jua kuchomoza Kila panapokucha.
Kama waligawiwa kwa njia zisizo rasmi na hawana Hati miliki basi zitarudi tu kama sheria zipoWatu hayo maeneo wameshajenga majumba wengine wameshusha maghorofa kabisa wanarudishaje kwa mfano?