Jerry Silaa atoa siku 100 kwa waliovamia maeneo ya wazi kuondoka Mara Moja

VIWANJA VYA WAZI VIMEVAMIWA NA WAHUSIKA WA HAPO ARDHI WAMEWAPA WATU HATI ZA VIWANJA HIVYO, TATIZO LIPO KWENU WIZARA.
Aidha serekali iyakanushe rasmi na iyatambue na wahusika wayalipie rasmi pamoja na gharama za kuvunja sheria ili serekali ipate hapo japo tilion moja!

Anajua vizuri anatengeneza mazingira naye apige milungula.
 
Haka kajamaa msikaamini maneno yake,kenyewe ni kapiga deals kazuri tu,kakipiga mkwara we cheka na uende ukiwekea maanani utaumwa kicnwa bure,Haka ni kajizi promax waulize Ilala wana kumbukumbu nako.Kanajipaga muonekano wa mtu smart sana wakati kiuhalisia ni tabu tupu bora madelu
 
Bongo we ongea sanaaaa

Utaonekana unaweza tena mtu smart

Kweri kweri...."utawasikia watu wanakuambia zis guy is veri smart"

[emoji1]

Ova
 
Waziri, hii Wizara kama hujui tunaiita "exit door" - jipange.
 
Kwa hio aache aendelee na mengine
Amuulize Magufuli. Magufuli yeye ndo alikuwa Waziri wa ujenzi na alipitia vikwazo kibao. Hadi alipokuja kuwa Rais ndo aligusa maslahi ya kina Kinana,ila ndo kama unavyoona wakamueliminate.
 
Akishalogwa anakuwa mpoole, wako wapi MEMC wamelogwa na mziki mkubwa kama kawa, ndio aje huyu wa Babati?
 
Akasome ripoti ya Lukuvi kuhusu viwanja vya wazi Dar, vingi vimechukuliwa na CCM na wanapack magari na kukodisha Bar. Sidhani kama ana ubavu huo
 
Aanze na fuel filling stations zote zilizoibuka ghafla kwenye road reserves katika mji wa Dar hasa along Morogoro road baada tuu ya JPM kuondoka Duniani.
Fuel filling stations huwa wana permit ya kutumia hayo maeneo. Hawajavamia.
 
Paving way for the ROPE ASAP !! Nothing else !!! How long that ROPE is going to be; is just a matter of time !!!
 
Ngoja tuone maana umekuja na matamko mengi sana.

-
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa, amewataka waliovamia maeneo ya wazi kuanza kuondoka mara moja huku akiwaelekeza viongozi na watendaji wa wizara hiyo, wenye mamlaka ya kusimamia sheria kuhakikisha ndani ya siku 100 maeneo hayo yanakuwa wazi.

Silaa ameyasema hayo wakati akizumgumza na Menejimenti ya Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi mara baada ya kukabidhiwa ofisi na mtangulizi wake, Dkt. Angeline Mabula, ambapo pia amewataka watendaji kuhakikisha wanatatua migogoro ya ardhi ndani ya siku 100.
Miezi mitatu na siku kumi hata rais yeyote hajawahi kuweka rekodi hiyo mbwembwe za nyati mbele ya simba ni ubatili mtupu. Simba akimrukia nyati mgongoni ni lazima aanguke chini ambapo haraka shingo hukabwa na ujanja wote kwisha habari yake!!!
 
Huyu Jerry Silaa ndo alisemaga iongezwe Tsh 100 kwenye bei ya mafuta kwa wakazi wa Dsm. Huyu jamaa aende kiakili vinginevyo atavurunda. Biteko alikuwa anakimbiza mwizi kimyakimya sasa hivi Naibu Waziri. Mama Samia hataki ufala kabisa.. anakung'oa huku anatabasamu bila makelele. Viongozi wapenda matamko huwa wanaishia njiani.
 
Watu wanaotoaga siku tatu, saba, 30. 100 hawajawahi kuwa serious.
 
Ngoja tuone maana umekuja na matamko mengi sana.

-
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa, amewataka waliovamia maeneo ya wazi kuanza kuondoka mara moja huku akiwaelekeza viongozi na watendaji wa wizara hiyo, wenye mamlaka ya kusimamia sheria kuhakikisha ndani ya siku 100 maeneo hayo yanakuwa wazi.

Silaa ameyasema hayo wakati akizumgumza na Menejimenti ya Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi mara baada ya kukabidhiwa ofisi na mtangulizi wake, Dkt. Angeline Mabula, ambapo pia amewataka watendaji kuhakikisha wanatatua migogoro ya ardhi ndani ya siku 100.
Huu sasa ni utani, kwanini asiende Lumumba akawaambie CCM waondoke kwenye maeneo yote ya wazi waliyoyavamia na warudishe viwanja vyote vya michezo walivyoipora serikali, simpo kuliko kusemea huku.
 
Ngoja tuone maana umekuja na matamko mengi sana.

-
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa, amewataka waliovamia maeneo ya wazi kuanza kuondoka mara moja huku akiwaelekeza viongozi na watendaji wa wizara hiyo, wenye mamlaka ya kusimamia sheria kuhakikisha ndani ya siku 100 maeneo hayo yanakuwa wazi.

Silaa ameyasema hayo wakati akizumgumza na Menejimenti ya Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi mara baada ya kukabidhiwa ofisi na mtangulizi wake, Dkt. Angeline Mabula, ambapo pia amewataka watendaji kuhakikisha wanatatua migogoro ya ardhi ndani ya siku 100.
Maeneo mengi ya wazi (Open spaces) ambayo ni mali ya wananchi yamevamiwa na kuporwa na CCM. Mpaka viwanja vyote vya Mpira wa Miguu navyo pia vimeporwa na CCM nchi yote hii. Sasa Waziri wa Ardhi Jerry Silaa anaposema kwamba wavamizi wote wa maeneo ya wazi waanze kuondoka, Je, anaamaanisha kwamba CCM ianze kufunga virago na kuondoka hapa nchini au ana maana gani??
 
Back
Top Bottom