Jerry Silaa atoa siku 100 kwa waliovamia maeneo ya wazi kuondoka Mara Moja

Kelele tu, kesho kutwa kimyaa.
 
Anataka kuosha jina kwa kukomoa watu?
 
Kwahiyo anataka kuwaondoa kwenye maeneo hayo baadae ahodhi yeye?
 

Huyu Jerry anaanza kiupigaji....lakini lengo lake hapa ni kutengeneza mazingira ya rushwa...Amekuja na kuzuia ujenzi wa Filling Station kwamba ziwe 200m ,Lengo ni kutengeneza cartel ya upigaji wa pesa za RUSHWA.
 
VIWANJA VYA WAZI VIMEVAMIWA NA WAHUSIKA WA HAPO ARDHI WAMEWAPA WATU HATI ZA VIWANJA HIVYO, TATIZO LIPO KWENU WIZARA.
Aidha serekali iyakanushe rasmi na iyatambue na wahusika wayalipie rasmi pamoja na gharama za kuvunja sheria ili serekali ipate hapo japo tilion moja!
 
Hakuna jipya chini ya CCM unakuta wavamizi ni Ma cccm na wenye madaraka,je atawafurusha nayeye teuzi itenguliwe?
 
Vituo vya mafuta vilivyo vingi vina ubia na uhusiano na uarabuni. Sidhani kama atavigusa.
Kuna vituo vingi vya mafuta vimejengwa maeneo ya wazi. Sasa wakivibomoa si mafuta yatakuuguza mwenyewe mhe. waziri. Au sijaeleweka.
A
 
Kwahiyo anataka kuwaondoa kwenye maeneo hayo baadae ahodhi yeye?
Hiyo inaitwa ... Funika kombe... Mwanaharamu apite...

Wote ni wale wale ...

Tena huyu bado ana njaa!!! ... njaa kali! Ogopa sana mtu mwenye njaa!,

Njaa ya Kutengeneza jina, at the same time amalize na njaa yake ya tumbo!
 
Tuna nongwa mtu akifanya vibaya tunamsema vibaya akifanya vizur bdo tunamsema kua atapotea aache kufanya vizur xx mnataka wafanyaje mbona hueleweki
 
Aanze na fuel filling stations zote zilizoibuka ghafla kwenye road reserves katika mji wa Dar hasa along Morogoro road baada tuu ya JPM kuondoka Duniani.

Kama zipo kwenye maeneo ya wazi inamaana ziko kwenye hili tangazo la siku 100
 
anataka watoke ili yeye acheze deal ya kuzi kwapua hizo ardhi
 
Kuna wanao jikuta wazito na wasio gusika ndio wamekalia hayo maeneo mengi, ngoja tuone kama utaitumia nguvu yako ipasavyo
 
Hata mm namjua TIRIMA, ni tatizo kubwa sana
 
Kama wana akili Wakiyarudisha yawe maeneo ya mapumziko na jogging [emoji2089]
Yaani kuna majitu yenye kadi yamejigawiwa mpaka maeneo ya polisi
Shame on you guys
Kijani wenyewe hao wamechukua maeneo mengi ya wazi

Ova
 
Bora vituko vya huyu jamaa, magazeti yapate kuandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…