Jerry Silaa: Kamati za Bunge zikapige picha kwenye daraja la Tanzanite

John Haramba

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2022
Posts
365
Reaction score
1,374
Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Jerry Silaa ameipongeza serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kazi yake hasa ukamilikaji na kuanza kutumika kwa daraja la Tanzanite na kuziomba kamati za Bunge za mwezi Machi kufanya ziara na kupiga picha.

Kauli hiyo ameitoa hii leo Februari 4, 2022, Bungeni Dodoma, wakati wa kipindi cha maswali na majibu kwa Wizara ya Ujenzi.

"Niipongeze serikali ya Rais Samia kwa kazi kubwa inayofanya kwenye miundombinu ya barabara, Februari Mosi daraja la Tanzanite limeanza kutumika pale Dar es Salaam, na kamati za Machi zifanye ziara zipate kupiga picha pale," amesema Mbunge Silaa.

FKrdwlRUUAAKUbp.jpg
 
Wanaotakiwa "kushukuriwa" ni:-

1. Kikwete... huyu ndie aliyetafuta Wafadhili na kuanza mchakato wa mradi
2. Magufuli... huyu ndie ali-implement Mradi
3. TANROADS... kwa kusimamia mradi
4. Samia... Huyu ndie kazindua kazi ambayo ilishafanywa na wenzake huko nyuma.
 
Wakapige picha kwenye madarasa yaliyochoka kama mabanda ya mifugo, wakapige picha kwenye barabara zilizojaa mashimo na kote kunakofanana na huko.
 
Wakapige picha ili?

Ukumbusho, show off au
 
WAKITOKA KUPIGA PICHA DARAJQNI TANZANITE WAELEKEE ULONGONI KATIKA JIMBO LAKO LA UNALOLIONGOZA AMBAKO HADI 2022 WANQNCHI WANABEBWQ KWA BUKU KUVUSHWA WAENDE SOKONI GONGOLA MBOTO. KISHA MOMBASA MAZIZINI AMBAKO BARABARA YA LAMI IMEHARIBIKA ....IMETOLEWA NA KUWEKWA TOPE (FROM LAMI MCHONGO TO MATOPE ), WASISAHAU KUPITIA BUYUNI AMBAKO HAWAJUI LAMI, MAJI WALA UMEME ILA NI WAKAZI WA "JIJI JIPYA ", MAJOHE NA MSONGOLA AMBAKO NI ZAIDI YA SHULE YA AMBAKO WAHESHIMIWA WATAJIFUNZA KUVUA VIATU WABEBWE, KUACHA GARI UPANDE BODA , YAANI WATA I NJOY
 
Kupiga picha,kurekodi video hapo napo ni bure

Ova
 
Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Jerry Silaa ameipongeza serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kazi yake hasa ukamilikaji na kuanza kutumika kwa daraja la Tanzanite na kuziomba kamati za Bunge za mwezi Machi kufanya ziara na kupiga picha.

Kauli hiyo ameitoa hii leo Februari 4, 2022, Bungeni Dodoma, wakati wa kipindi cha maswali na majibu kwa Wizara ya Ujenzi.

"Niipongeze serikali ya Rais Samia kwa kazi kubwa inayofanya kwenye miundombinu ya barabara, Februari Mosi daraja la Tanzanite limeanza kutumika pale Dar es Salaam, na kamati za Machi zifanye ziara zipate kupiga picha pale," amesema Mbunge Silaa.

View attachment 2107555
Nafkiri ungeweka ushahidi wa clip, maana kama ni kweli mwakilishi huyu anawakosea watu wake kule ukonga ambapo barabara za huko ni aibu kabisa, badala apambane na kwake kama kina Bona kamoli wa segerea ama senetor Sanga huko makete mpaka Waziri husika anawasha V8 kwenda kutoa maelekezo ye ni kusifia mambo ambayo hata 2% ya wananchi wake hawanufaiki.
 
Kwa katiba hii mbovu ni aibu tupu
 
Kuna watu watanuna kwa kupongezwa samia
Utawaona sasa hivi, ukiwauliza kwani samia hana nguvu ya kuipotezea miradi iliyoanzishwa na mwenzake km mwenzake alivyoipotezea ya mwenzake? Hawana majibu
 
Wanaotakiwa "kushukuriwa" ni:-

1. Kikwete... huyu ndie aliyetafuta Wafadhili na kuanza mchakato wa mradi
2. Magufuli... huyu ndie ali-implement Mradi
3. TANROADS... kwa kusimamia mradi
4. Samia... Huyu ndie kazindua kazi ambayo ilishafanywa na wenzake huko nyuma.
Mchakato wa ujenxzi ulianza mwaka 2016 na ujenzi ukaanza rasmi mwaka 2018; Kikwete hahusiki kabisa na mradi huo! Feasibility study iliyofanywa wakati wa Kikwete mwaka 2014 iliishia vitabuni; serikali haikucommit kuutekeleza. Kuna feasibility studies nyingi zilizowahi kufanywa bila kutekelezwa, mojawapo ni ile ya Bwala la Nyerere ambalo feasibility study ilifanyika zaidi ya miaka 40 iliyopita na hazikutekelezwa. Nyingine ni ile barabara ya Arusha kwenda Musoma, ambayo feasibility study ilikamilika lakini barabara haikujengwa.

Mwaka 2016 ndipo task force ilipoundwa na serikali kuangalia utaratibu wa kukamilisha ujenzi huo, hadi kufikia mwaka 2018 ujenzi ukaaza rasmi.
 
SERIKALI YASAINI HATI YA MAKUBALIANO YA UJENZI WA DARAJA LA SALENDA

September 2, 2015, 9:18 pm
Next MULTICHOICE AFRICA KICKS OFF THE BIGGEST CONTENT SHOWCASE IN AFRICA
Previous MKUTANO WA KAMPENI ZA MH. LOWASSA, SUMBAWAGA MKOANI RUKWA LEO

Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali na wajumbe kutoka Benki ya Exim ya Korea baada ya kusaini hati ya mkataba wa makubaliano ya mkopo wa Dola za Kimarekani milioni 91.032 ambazo ni sawa na Sh. Bilioni 154.39 za Kitanzania zilizotolewa na Benki ya Exim ya Korea kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Salenda leo jijini Dar es salaam.

(Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO)

SASA UNAYESEMA UJENZI SIJUI SAINI ILITIWA MWAKA 2016 HEBU KUWA MAKINI SANA HILI DARAJA KIKWETE AMELISIMAMIA SANA. TATIZO MAGUFULI ALIHAKIKISHA MAZUNGUMZO YA AWALI ANAYAFUTA ANAANZA UPYA ILI APATE SIFA YEYE, THAT IS WHAT HAPPENED TO TERMINAL 3, BAGAMOYO PORT AND HILO DARAJA.
 
Back
Top Bottom