Jerry Silaa kapewa onyo tu?! Maana nilitarajia aondolewe katika uwaziri!

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Dah....mama anaupiga mwingi, kwa hiyo Jerry kapewa onyo tu, huyu naye ni wa kufukuza, ila bado tunasubiri muda, maana njia yake anaiwekea miba kwa juhudi kubwa sana. Anguko lake haliko mbali.

Mama anatoaga second chance.
 
Msama punguza ujinga basi
Tunasubiri afutwe kazi au ahamishwe wizara, tunataka waziri anayeheshimu utawala wa sheria, ni aibu mtu wa ngazi ya waziri kutokuwa na ABC za mfumo wa sheria za nchi
 
Matapeli ya viwanja ndio mnapojifichia hapo pumbavu
 
Dah....mama anaupiga mwingi, kwa hiyo Jerry kapewa onyo tu, huyu naye ni wa kufukuza, ila bado tunasubiri muda, maana njia yake anaiwekea miba kwa juhudi kubwa sana. Anguko lake haliko mbali.

Mama anatoaga second chance.
We jamaaa lijingaaa sana ....
 
Watu wale matapeli wa ardhi mnawatetea ehh
Mitanzania haijui inataka nini kwa style hyo ccm itazidi kuwaburuza

Ova
Ni kweli kabisa, waburuzwe tu mpaka wawe vibogoyo. Hili taifa ukiwa kiongozi mkweli na mtendaji wa haki majizi yatakuundia zengwe hata kukuua usipokuwa smart.
 
Back
Top Bottom