Jerry Silaa kapewa onyo tu?! Maana nilitarajia aondolewe katika uwaziri!

Jerry Silaa kapewa onyo tu?! Maana nilitarajia aondolewe katika uwaziri!

Juzi alikuwa mwanza kurudisha eneo la shule, mgogoro ambao wananchi wanadai walishaufikisha kwa mkuu wa mkoa bila ya kuchukua hatua.

Mkeka umetoka, Makala nje shauri zako acha utapeli wa viwanja huko hakufai nyakati hizi. Keshakwambia katumwa na boss wake uelewi tu somo.
 
Tunasubiri afutwe kazi au ahamishwe wizara, tunataka waziri anayeheshimu utawala wa sheria, ni aibu mtu wa ngazi ya waziri kutokuwa na ABC za mfumo wa sheria za nchi
Tapeli mkubwa wewe
 
Back
Top Bottom