Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa amesema mmiliki wa nchi hii siyo chama chochote bali ni Watanzania wote.
Amesema kitendo cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kugomea uchaguzi mkuu, ni makosa na pengine wamefanya hivyo kwa sababu wamekosa hoja.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Silaa aliyasema hayo wakati akizungumza , kwenye sherehe ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Vingunguti, kupongezana kwa ushindi mkubwa walioupata kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.