The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Mara zote huwa nasema CCM bado wanaendelea na siasa za koshamba sana. Wana mbinu amabazo hata mtoto wa darasa la pili lazima ajue kafungwa kamba.
Jerry slaa anataka kutuaminisha kwamba tatizo la ujenzi holela la vituo vya mafuta lilikuwa ni tatizo la wazori husika siyo serikali jambo ambalo ni uongo wa mchana kweupe.
Ujenzi wa vituo vya mafuta watu tulilalamila sana hapa kwamba vinafutana kama maduka ya nguo no body cared na vikaendelea kumiminwa tu.
Kama kweli yuko serious hivi vituo vyote viliyojengwa inje ya utaraibu vibomlewe vyote maana havijafuata sheria na vinahatarisha maisha ya watu.