The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Humeleta abali muzuli ya jerry silaha ni hukuweli fituo ya mafuta himejenguwa kihorera.Mara zote huwa nasema CCM bado wanaendelea na siasa za koshamba sana. Wana mbinu amabazo hata mtoto wa darasa la pili lazima ajue kafungwa kamba.
Jerry slaa anataka kutuaminisha kwamba tatizo la ujenzi holela la vituo vya mafuta lilikuwa ni tatizo la wazori husika siyo serikali jambo ambalo ni uongo wa mchana kweupe.
Ujenzi wa vituo vya mafuta watu tulilalamila sana hapa kwamba vinafutana kama maduka ya nguo no body cared na vikaendelea kumiminwa tu.
Kama kweli yuko serious hivi vituo vyote viliyojengwa inje ya utaraibu vibomlewe vyote maana havijafuata sheria na vinahatarisha maisha ya watu.
Acha roho ya kimaskini wewe unataka Tukaweke Mafuta wapi Gari inaishiwa Mafuta kariakoo twende Mlandizi au Kisarawe. Vituo vya mafuta tunaona kwenye Nchi zilizoendelea vipo sambamba na Supermarket na Mall kubwa sasa hicho mnachalalamikia mnakitoa wapi?.Mara zote huwa nasema CCM bado wanaendelea na siasa za koshamba sana. Wana mbinu amabazo hata mtoto wa darasa la pili lazima ajue kafungwa kamba.
Jerry slaa anataka kutuaminisha kwamba tatizo la ujenzi holela la vituo vya mafuta lilikuwa ni tatizo la wazori husika siyo serikali jambo ambalo ni uongo wa mchana kweupe.
Ujenzi wa vituo vya mafuta watu tulilalamila sana hapa kwamba vinafutana kama maduka ya nguo no body cared na vikaendelea kumiminwa tu.
Kama kweli yuko serious hivi vituo vyote viliyojengwa inje ya utaraibu vibomlewe vyote maana havijafuata sheria na vinahatarisha maisha ya watu.
Ni hatari sana aina ya hayo mabomu ya baadaeMara zote huwa nasema CCM bado wanaendelea na siasa za koshamba sana. Wana mbinu amabazo hata mtoto wa darasa la pili lazima ajue kafungwa kamba.
Jerry slaa anataka kutuaminisha kwamba tatizo la ujenzi holela la vituo vya mafuta lilikuwa ni tatizo la wazori husika siyo serikali jambo ambalo ni uongo wa mchana kweupe.
Ujenzi wa vituo vya mafuta watu tulilalamila sana hapa kwamba vinafutana kama maduka ya nguo no body cared na vikaendelea kumiminwa tu.
Kama kweli yuko serious hivi vituo vyote viliyojengwa inje ya utaraibu vibomlewe vyote maana havijafuata sheria na vinahatarisha maisha ya watu.
Anacheza na Moto. Aulize Nani mfanyabiashara mkubwa wa mafuta Kwa sasa kabla ya kutafuta kikiMara zote huwa nasema CCM bado wanaendelea na siasa za koshamba sana. Wana mbinu amabazo hata mtoto wa darasa la pili lazima ajue kafungwa kamba.
Jerry slaa anataka kutuaminisha kwamba tatizo la ujenzi holela la vituo vya mafuta lilikuwa ni tatizo la wazori husika siyo serikali jambo ambalo ni uongo wa mchana kweupe.
Ujenzi wa vituo vya mafuta watu tulilalamila sana hapa kwamba vinafutana kama maduka ya nguo no body cared na vikaendelea kumiminwa tu.
Kama kweli yuko serious hivi vituo vyote viliyojengwa inje ya utaraibu vibomlewe vyote maana havijafuata sheria na vinahatarisha maisha ya watu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Humeleta abali muzuli ya jerry silaha ni hukuweli fituo ya mafuta himejenguwa kihorera.
Mkuu umeshasema Nchi zilizoendelea ambazo zina HYDRANT kila kona moto ukitokea hata wewe unajigeuza zimamoto na maisha yanaenda, Wana Ndege na Magari ya kuzima moto. Nenda hapo Tabata Mawezi kuna vituo 3 vya mafuta vimefuatana imagine moto uwake na hawa fire wetu wasio na Vifaa hayo maaaafa itakuaje?Acha roho ya kimaskini wewe unataka Tukaweke Mafuta wapi Gari inaishiwa Mafuta kariakoo twende Mlandizi au Kisarawe. Vituo vya mafuta tunaona kwenye Nchi zilizoendelea vipo sambamba na Supermarket na Mall kubwa sasa hicho mnachalalamikia mnakitoa wapi?.
Wewe ndiyo maskini unayeweka mafuta ya 200Acha roho ya kimaskini wewe unataka Tukaweke Mafuta wapi Gari inaishiwa Mafuta kariakoo twende Mlandizi au Kisarawe. Vituo vya mafuta tunaona kwenye Nchi zilizoendelea vipo sambamba na Supermarket na Mall kubwa sasa hicho mnachalalamikia mnakitoa wapi?.
True anatafuta kiki tu huyu ng'ombe. Kwani NEMC hawakuwepo wakati vituo vinamiminwa everywhereMAWAZIRI wote hawana Tija kwenye hili Taifa.
Wanaongeza UMASIKINI.
Aje abomoe hiki cha kimara stop over afu tuoneMara zote huwa nasema CCM bado wanaendelea na siasa za koshamba sana. Wana mbinu amabazo hata mtoto wa darasa la pili lazima ajue kafungwa kamba.
Jerry slaa anataka kutuaminisha kwamba tatizo la ujenzi holela la vituo vya mafuta lilikuwa ni tatizo la wazori husika siyo serikali jambo ambalo ni uongo wa mchana kweupe.
Ujenzi wa vituo vya mafuta watu tulilalamila sana hapa kwamba vinafutana kama maduka ya nguo no body cared na vikaendelea kumiminwa tu.
Kama kweli yuko serious hivi vituo vyote viliyojengwa inje ya utaraibu vibomlewe vyote maana havijafuata sheria na vinahatarisha maisha ya watu.
Hapo ndo huwa nachoka kabisa watu walibomolewa nyumba Kwa ajili ya road reserve Leo zinajengwa shell kila uchao kweli hii ni haki?Hawa wanaojenga kwenye road reserve ya kimara to kibaha road nashindwa kuelewa wanapata wapi hiyo dare.
EehHumeleta abali muzuli ya jerry silaha ni hukuweli fituo ya mafuta himejenguwa kihorera.
Hivyo vituko vyenyewe wamiliki wake SI ndio hao hao wanasiasa?Mara zote huwa nasema CCM bado wanaendelea na siasa za koshamba sana. Wana mbinu amabazo hata mtoto wa darasa la pili lazima ajue kafungwa kamba.
Jerry slaa anataka kutuaminisha kwamba tatizo la ujenzi holela la vituo vya mafuta lilikuwa ni tatizo la wazori husika siyo serikali jambo ambalo ni uongo wa mchana kweupe.
Ujenzi wa vituo vya mafuta watu tulilalamila sana hapa kwamba vinafutana kama maduka ya nguo no body cared na vikaendelea kumiminwa tu.
Kama kweli yuko serious hivi vituo vyote viliyojengwa inje ya utaraibu vibomlewe vyote maana havijafuata sheria na vinahatarisha maisha ya watu.
Kile kinajengwa pale luguluni , kiluvya madukani, pale kinara stop over 😆😆.Mara zote huwa nasema CCM bado wanaendelea na siasa za koshamba sana. Wana mbinu amabazo hata mtoto wa darasa la pili lazima ajue kafungwa kamba.