Jerry Silaa na Daganya Toto kwenye ujenzi wa Vituo vya Mafuta

Kuna maslahi fulani anatafuta au kuna mtu anamtafuta aliewekeza sana kwenye vituo hivyo (shareholders) kwenye wauzaji wakubwa

Huwa tuna tabia ya kuzunguka saanaa lakini maana ni zile zile

Kwa njaa za Africa, bado miaka mingi sana kuwa mataifa ya kujitegemea na kuachana na ombaomba kwa tamaa za wachache

Ogopa mtu anaeongea kiswahili na kuchomekea maneno ya kizungu huku akijua fika anaowasemesha hawajui hata neno moja huwa nawaona ni washamba tu na ........
 
Aache blah blah

Wawalipe jamaa wa kipunguni pesa

Zao tu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…