johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huyu Jerry Silaa ni Deo Filikunjombe mtupu, Mungu wa Mbinguni azidi kumpa Ujasiri atatufaa CCM 2030 Kwenye Urais!
Huyu jamaa ukimtazama haraka haraka unaweza kumchukulia poa Ila spiritual na kiuzalendo yuko vizuri kuliko Mawaziri wote nadhani.
Mungu wa Mbinguni azidi kumpa Ujasiri. 😂
Sabato endelevu njema!