Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Ukishaona majina kama pombe kali Bia yetu na kenge wengine Ujue kumejaa ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona Jerry unajipakulia minyama tu hapa
Legs argue with facts chief mocking does add upUkishaona majina kama pombe kali Bia yetu na kenge wengine Ujue kumejaa ujinga
Bishana kwa hoja mkuuSmart Gin hizo akili yako inaharibika unasema nn ukienda kuongea huo ujinga kivule na makofi utapigwa Kama anakununulia pombe kunywa Ila acha kuropoka....
Hili ndio tatizo la wanasiasa wengi wa Bongo walioferi wanadhani kuwanywesha Pombe wapumbavu kama huyu na kuwanunulia smartphone za promotion ndio wanasolve tatizo, kumbe ndio wanazidisha hasira watu.Nikiwa kama Mwana Ukonga na mwananchi ninaejua siasa za Ukonga naomba nikiri kwa niaba ya wana Ukonga kuwa tunamuhitaji Jerry kuliko kitu chochote.
Hii ni kwa mustakabali wa maisha yetu, kubali kataa jimbo la ukonga ni miongoni mwa majimbo magumu ila sisi tuliozaliwa ukonga tunajua chanzo kiini na suluhu, ikumbukwe kuwa jambo la Ukonga lipo Wilaya ya Ilala, wilaya ambayo ni kubwa yaani inaanzia kariakoo mpaka chanika pia imepakana na kisarawe mkoa wa pwani kwa miaka yangu yote ambayo nimeishi ukonga nimegundua changamoto zifuatazo mosi ni miundo mbinu.
Tatizo la miundo mbinu ni kubwa kuliko tunavyofikiri kwani wakati wa masika watu hulazimika kupanga vyumba mjini kuepuka changamoto za usafiri ambapo huwa hakufikiki hapa naongelea maeneo kama mbondole,viwege, magole chakenke nk kwa watu wasio na akili lawama hizi huwa wanamtupia mbunge.
Bila kujua historia ya jambo husika wala kujua taratibu za serikali na michakato ya kumpata mzabuni nk, sababu ya kuwaelekeza wana ukonga kwamba tunamuhitaji Jerry ni kwamba huyu jamaa amekuwa jikoni kwa muda mrefu tangu akiwa Naibu Meya baada ya hapo amekuwa mjumbe kamati kuu ya chama.
Yaani jikoni kabisa hii imepelekea mpaka Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania amiri jeshi mkuu kumuamini na kumpa uwaziri katika wizara nyeti sana ya ardhi, wana ukonga Mungu atupe nini tena ukizingatia maeneo yote niliyoyataja hapo juu yana migogoro ya ardhi mpaka kupelekea baadhi ya maeneo kuitwa maeneo ya uvamizi.
Mimi nashauri tuendelee kumng'ang'ania huyu home boy kwani yeye ndiye atatuvusha na kutupeleka nchi ya ahadi sababu ukonga anaijua vizuri na pia a anaushawishi mkubwa hata kwa mkuu wa nchi na mamlaka zote, tusiache lulu hii ipotee.. kumbuka amepewa dhamana ya ardhi nchi nzima ya Tanzania.
Jimbo la Ukonga litakuwa tofauti baada ya muda mfupi sana.
Naomba kuwasilisha
Kama tunaishi Industrial waambie Serikali waje wabomoe. Sifa za Jerry usihusishe na Ukonga. Labda ana sifa zake unazozijua wewe tena za Kipuuzi tu. Ni Waziri wa Ardhi tunamkaribisha aje abomoeUnajua historia ya moshi bar wewe? Angalia kwenye Town plan ile siyo residential area ile ni industrial area mmefosi mmejazana halafu wengine wakabadilisha Town plan serikali imeshindwa kubomoa nyumba zote na sasa mnaanza kumlaumu mbunge kwani yeye ndiyo mbunge wa kwanza huko kulikuwa na mama Marehem anaitwa Mwaiposa unamkumbuka? Ambaye aliwahi kuwambia wananchi wasimletee kero kwani hajashinda kwa kura haya alikuja Waitara akiwa chadema pia akaja Waitara akiwa CCM walifanya nini? Unataka Jerry atoe hela yake akujengee wewe barabara na umehamia huko industrial area kwa ufala wako...usinichafue ndugu
Mungu atupe uhai 2025 siyo mbali, ila ilikuwaje ukanunua sehemu haina barabara? Lawama kwa mbunge hapo zinakujaje? Kwa nini hukuenda kununua mitaa ambayo ina lami tayari narudia 75% ya ukonga haikuwa mahsusi kwa ajili ya makazi ya watu ndiyo maana huku kesi za uvamizi haziishi..unataka uwekewe barabara eneo la uvamizi? Au miye ndio sielewiHili ndio tatizo la wanasiasa wengi wa Bongo walioferi wanadhani kuwanywesha Pombe wapumbavu kama huyu na kuwanunulia smartphone za promotion ndio wanasolve tatizo, kumbe ndio wanazidisha hasira watu.
Nina nyumba Italian Kigenzi nimehama Kule Kwa sababu ya barabara, thread za kula kulala kama huyu wacha tu nikae kimya, watu wa Ukonga wanajuwa cha kumfanya akithubutu kugombea tena.
Miye labda sijui, jukumu la mbunge ni kutengeneza barabara? Au ni jukumu la tarura? Barabara zinatengenezwa kwa fungu lipi? Labda tuanzie hapo kabla ya kuanza lawama ..binafsi naishi viwege kwa mpemba mwaka wa 13 sasa kabla ya hapo nilikuwa naishi mzambarauni kwa miaka 10 na ni muathirika mzuri tu wa hizi barabara huwa inanilazimu kupanga chumba mjini ili niwahi kibaruani lakini sijawahi kuona kosa la mbunge kwani huku nilihamia mwenyewe kwa utashi wangu...na nilipokuja kugundua haya maeneo mengi ni ya uvamizi huwa naomba tu Mungu huruma ya serikali kwa wananchi wake lakini mbunge hahusiki na lawama zozoteKama tunaishi Industrial waambie Serikali waje wabomoe. Sifa za Jerry usihusishe na Ukonga. Labda ana sifa zake unazozijua wewe tena za Kipuuzi tu. Ni Waziri wa Ardhi tunamkaribisha aje abomoe
Nenda kaishi mbezi kuna lami kila mtaa...huwezi ukaja sehemu ukaanzisha mji kisha unamlaumu mbunge on a personal capacity kwani yeye ndiye alikwambia uhamie huko....Mkipewaga misaada na viongozi mtulie, sio kutia hasira watu.
Mxxxiiiiieeeew
Mkipewaga misaada na viongozi mtulie, sio kutia hasira watu.
Mxxxiiiiieeeew
Njoo na hoja chief, ubovu wa barabara za mtaa ni suala la halmashauri la sehemu husika bora hata mara Mia lawama zingeelekezwa kwa diwani maana yeye huwa anapata fungu la maendeleo sasa mbunge kweli yaani unazungumzia mbunge...Jerry kama Jerry akili nyingi mtateseka sanaNjaa mbaya sana
Which facts bro? That's naked truthLegs argue with facts chief mocking does add up
Ubovu wa barabara wakulamiwa ni madiwani katika halmashauti yako mzee mbunge hahusiki familiarise yourself with position descriptions za hawa watu kwanzaWhich facts bro? That's naked truth
Hakuna kitu kibaya kama kukwepa respobilities, nashangaa inapokua ni negative issues kila MTU hataki kuwa accountable. Mbona Taifa Stars wakishinda games huwa mnapongeza Samia na sio kocha (ni mfano)! Leo barabara zikiwa mbovu ni za madiwani, zikiwa nzuri ni za Samia. Sawa jumapili njemaUbovu wa barabara wakulamiwa ni madiwani katika halmashauti yako mzee mbunge hahusiki familiarise yourself with position descriptions za hawa watu kwanza
Unalijua daraja la ulongoni wewe? Unajua ni kiasi gani imetumika kujenga lile darajaJerry pesa za mfuko wa jimbo huwa unazipeleka wapi? Maana hata madiwani wako wenyewe hawakuelewi
Huwa siquote post za kula kulala na wapumbavu kama wewe, Leo umebahatika Tu.Mungu atupe uhai 2025 siyo mbali, ila ilikuwaje ukanunua sehemu haina barabara? Lawama kwa mbunge hapo zinakujaje? Kwa nini hukuenda kununua mitaa ambayo ina lami tayari narudia 75% ya ukonga haikuwa mahsusi kwa ajili ya makazi ya watu ndiyo maana huku kesi za uvamizi haziishi..unataka uwekewe barabara eneo la uvamizi? Au miye ndio sielewi
Matusi ya nini? Nyumba za pspf buyuni zinahusiana nini na hii post naomba TP namba ya project ya buyuni ambayo nadhani ni ya mwaka 2005 nikuonyeshe jinsi wavamizi mlivyo haribu mipango miji, kama huna nikusaidie ambapo kwa kifupi tu ni ile kesi ya hekari elfu tatu kati ya mwalimu Mbambo na wazee saba wakiwemo kina matangula yaani mmenunua maeneo mmeuziwa na wakurya mmenda kung'oa mawe kisha unakuja kutukana watu humuHuwa siquote post za kula kulala na wapumbavu kama wewe, Leo umebahatika Tu.
Uliza Kata ya Buyuni kwenye Jimbo la Ukonga uambiwe mpuuzi mkubwa wewe, mradi wa viwanja vya serikali upo Buyuni, na nyumba za Pspf zipo Buyuni.
JF iongeze vigezo vya kuruhusu watu wa kupost kwenye jukwaa la siasa, thread ipitiwe Kwanza na moderator kabla ya kuruhusu kupublish pumba kwenye forum.