GE2025 Jerry Silaa yupo Polisi kwa kuvuruga uchaguzi jimbo la Ukonga

GE2025 Jerry Silaa yupo Polisi kwa kuvuruga uchaguzi jimbo la Ukonga

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Its Tesha

Senior Member
Joined
Oct 6, 2025
Posts
168
Reaction score
608
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Ukonga Kupitia CCM amepigwa chini katika jimbo hilo huku taarifa zikisema kuwa amekamatwa na jeshi la Polisi kwa kuvuruga uchaguzi katika jimbo hilo.
1762189301751.png
 
Kudhihirisha kulikuwa hakuna uchaguzi, hakuna hata proper update ya wabunge walioshinda.

Ni straight kwenda matokeo ya 97% ya ushindi wa Hitler wa Kike.
 
Wala haijitaji akili kubwa kujua kuwa tunakoelekea watu wataacha kuwekeza akili zao kwenye siasa , Ngoma hapo itakuwa ni mwendo wa msituni tu ,ya kiongozi wao anaingia mwingine , siasa zishaanza kupoteza maana halisi
 
Back
Top Bottom