Jerry Silaha aongeza kasi ya kukomesha kesi za mirathi, ardhi na nyumba

Jerry Silaha aongeza kasi ya kukomesha kesi za mirathi, ardhi na nyumba

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,235
Reaction score
4,252
Kesi za mirathi na kesi zote za umiliki wa ardhi na majengo zimepata suluhu baada ya Mh Jerry Silaa kuongeza kasi ya kukomesha wale wote wanaosababisha mtafaruko ndani ya jamii

Mh raisi Samia tunakupongeza sana kwa kumpa Waziri wa ardhi cheo hiki hakika anakitendea kazi
Mh raisi bado tunahitaji watumishi shupavu kama Mh Makonda na Jerry Silaa

Tunaomba tupatie wakuu wa mikoa shupavu kama hawa wazalendo wa nchi kwani bado nchi yetu imejawa wananchi wasumbufu
 
Attachments

  • An-teJgO2U70QqGrcZger27-rOaWft_MK2XEgH4Mr3IULykDD7v6TYGAxhw6Eo5qVY-Uo51aGpOciz8fMEJ-iT4A.mp4
    56 MB
Yeah huo ndio ukweli mkuu
Tuache Upinzani usio na tija,, kupinga kila kitu
They are doing great work
 
Migogoro ya mirathi ni tishio
 
Migogoro ya mirathi ni tishio
Siyo tishio,sema matapeli wengi wamejichomeka humo kwenye kuzulumu mali za Marehemu, na wengine wanauwa kabisa alafu anaanzisha mgogoro wa Aridhi na warithi just from know where!!
 
Siyo tishio,sema matapeli wengi wamejichomeka humo kwenye kuzulumu mali za Marehemu, na wengine wanauwa kabisa alafu anaanzisha mgogoro wa Aridhi na warithi just from know where!!
Hatari
 
Back
Top Bottom