Huyo dogo Mwizi sana, sijui hata huko Gongo la Mboto wanamwamini vipi.Yeye akiwa waziri wa Michezo wa DARUSO (2004) na Waziri mkuu wa DARUSO wakati huo bwana Makene (Sasa ni paparazi)waliiba fedha za freshers ball (sherehe za kuwakalibisha first year), wakalazimishwa kujiudhuru katika katika nyadhifa zao., Sasa ndio kaibukia huko kwao Gongo la Mboto.Wahusika muwe macho na hiyo misaada, watu wenye tabia za Udokozi huwa siyo wa kuwaamini. Kama yuko humu JF akanushe kama hakujiudhuru kwa kashfa ya wizi