KERO Jerry Slaa, jimbo lako linakuhitaji barabara mbovu mno

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mr Sir1

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2018
Posts
1,749
Reaction score
7,945
Jerry Slaa hebu weka muda kidogo kutoka kukataa hongo ya mil. 300 uje uangalie njia za Ukonga hasa ya Kitunda kuelekea Mwanagati.

Hali ni mbaya mno huku. Hatujakuona toka ulipokuja kupiga kampeni.
 
Yeye sio waziri wa ujenzi labda ungemcheki Bashungwa pia mbunge hama bajeti ya kujenga barabara. Kama una mgogoro wa ardhi mtafute atakusaidia.
 
Kama wabunge hakuna wanachoweza kufanya kwenye matatizo ya wananchi, kwanini Taifa linatumia gharama kubwa kuendesha Bunge na kuwalipa wabunge wenyewe. Na kwenye kampeni wanajinadi watafanya hili na lile ilhali wakijua kabisa wao hawana 'Bajeti'
 
Niliapa sitapita tena hiyo barabara nakumbuka mara ya mwisho kupita ni 2022
Sipati picha na hii mvua ya Leo sijui mnatumia boti za Aina gani kuingia majumbani kwenu
 
Katika watu Wana Hali mbaya huyu mwamba apambane na Hali yake
 
Yeye sio waziri wa ujenzi labda ungemcheki Bashungwa pia mbunge hama bajeti ya kujenga barabara. Kama una mgogoro wa ardhi mtafute atakusaidia.
Nini maana ya kuwa mwakilishi wa jimbo??

Hana budget, je hana hata sauti pia ya kuchangia bungeni kuhusu matatizo ya jimboni kwake??

Huyu mwamba akirudi tena bungeni basi hapo hakika CCM watadhihirisha kuwa ni miamba ya wizi wa kura.

Jerry Slaa ni zigo la kimba bungeni.
 
Huwa nashindwa kuelewa majimbo mengine yanawezaje kuwa na barabara nzuri na mengine kushindwa.

Mfano wilaya ya Temeke kila sehemu lami.
 
Nini maana ya kuwa mwakilishi wa jimbo??

Hana budget, je hana hata sauti pia ya kuchangia bungeni kuhusu matatizo ya jimboni kwake??

Huyu mwamba akirudi tena bungeni basi hapo hakika CCM watadhihirisha kuwa ni miamba ya wizi wa kura.

Jerry Slaa ni zigo la kimba bungeni.
Umejuaje kama hajaongelea hiyo ishu kwa wahusika? Yeye kama yeye hawezi kujenga barabara kwa hela yake inategemea na bajeti n mipango ya nchi,barabara mbovu kama hizo zipo nchi nzima,na pia asiporudi jerry ni nani atakukija badala yake? Ndio atakuja kujenga hiyo barabara?
 
Huwezi kumtetea yaani jerry slaa akipata kula zaidi ya mke wake na wanae nitaamini CCM ni wezi waliopindukia. Tangu alipopata nafasi yaani hata bahati mbaya tu kupta hajawah.
Ni uchafu hakuna mwana ukonga atampa kura. Fanya uchunguzi wako tu kwa hata wale mateja wanaosimama pale mombasa huo ni uchafu ni mzigo
 
Umejuaje kama hajaongelea hiyo ishu kwa wahusika? Yeye kama yeye hawezi kujenga barabara kwa hela yake inategemea na bajeti n mipango ya nchi,barabara mbovu kama hizo zipo nchi nzima,na pia asiporudi jerry ni nani atakukija badala yake? Ndio atakuja kujenga hiyo barabara?
ok
 
Back
Top Bottom