Jerry Slaa ni utoto, Gwajima alidanganywa, Polepole amedhamiria

Ngungenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2016
Posts
2,914
Reaction score
3,386
Jerry Slaa ni kijana wa CCM aliyelelewa na kufundishwa maadili ya CCM, makosa aliyofanya hakujua madhara yake,
Kwa sisi wakongwe ni kuwa Jerry Slaa alifanya utoto na naamini baada ya kuitwa kwenye Halmashauri Kuu ya CCM ametubu,
hivyo adhabu yake yaweza kuwa ya kawaida.

Gwajima-huyu alidanganywa na wale waliotaka kumkwamisha Rais Samia kwa kupambana na sera mpya za mageuzi alizoleta Rais Samia,
Alidanganywa na wale waliotaka kudhoofisha urais wa Samia,
naamini baada ya muda kupita amegundua kuwa amekosea na naimani leo ameomba radhi,
Gwajima ana akili hivyo lazima ameomba radhi sababu anahitaji kuendelea kushamiri katika siasa ili mambo yake yaende vizuri.

Polepole amedhamiria kuchafua serikali ya Rais Samia,
ameamua kuwa mwanaharakati ya upinzania ndani ya CCM,
Kwa nafasi aliyokuwa nayo, Polepole angeweza kukutana na hao anaosema wanafanya vibaya na kuwashauri namna bora ya kufanya,
Amegeuka kulaumu serikali na Rais, huku akijifanya kuwa muumini wa CCM kumbe ni Mbwa mwitu,
Amejawa kashfa na kiburi kwa viongozi wa Chama na wateule wa awamu ya sita,
Anaona kama yeye ndiye alitakiwa kuteua baraza la mawaziri lakini sio Rais Samia
Ninaamini polepole hata omba radhi siku ya leo sababu ameweka hoja kuwa hakuna kitu alicho kosea,
amekiri yuko tayari kufukuzwa na hana cha kupoteza.
amekiri ubunge si kitu anaweza kurudi mtaani akaendelea kuishi kama kawaida,
hivyo Rais kumteua kuwa mbunge sio kipaumbele chake na wala sio muhimu.

Tutege sikio Dodoma
 
Kwa sisi wakongwe ni kuwa Jerry Slaa alifanya utoto na naamini baada ya kuitwa kwenye kamati kuu ametubu,

Waliipenda wenyewe, aacha waisome nambaaa eeh, chichiemu mbere Kwa mbereee🏃.
 
Jerry Slaa ni kijana wa CCM aliyelelewa na kufundishwa maadili ya CCM, makosa aliyofanya hakujua madhara yake,
Kwa sisi wakongwe ni kuwa Jerry Slaa alifanya utoto na naamini baada ya kuitwa kwenye Halmashauri Kuu ya CCM ametubu,
hivyo adhabu yake yaweza kuwa ya kawaida.

Gwajima-huyu alidanganywa na wale waliotaka kumkwamisha Rais Samia kwa kupambana na sera mpya za mageuzi alizoleta Rais Samia,
Alidanganywa na wale waliotaka kudhoofisha urais wa Samia,
naamini baada ya muda kupita amegundua kuwa amekosea na naimani leo ameomba radhi,
Gwajima ana akili hivyo lazima ameomba radhi sababu anahitaji kuendelea kushamiri katika siasa ili mambo yake yaende vizuri.

Polepole amedhamiria kuchafua serikali ya Rais Samia,
ameamua kuwa mwanaharakati ya upinzania ndani ya CCM,
Kwa nafasi aliyokuwa nayo, Polepole angeweza kukutana na hao anaosema wanafanya vibaya na kuwashauri namna bora ya kufanya,
Amegeuka kulaumu serikali na Rais, huku akijifanya kuwa muumini wa CCM kumbe ni Mbwa mwitu,
Amejawa kashfa na kiburi kwa viongozi wa Chama na wateule wa awamu ya sita,
Anaona kama yeye ndiye alitakiwa kuteua baraza la mawaziri lakini sio Rais Samia
Ninaamini polepole hata omba radhi siku ya leo sababu ameweka hoja kuwa hakuna kitu alicho kosea,
amekiri yuko tayari kufukuzwa na hana cha kupoteza.
amekiri ubunge si kitu anaweza kurudi mtaani akaendelea kuishi kama kawaida,
hivyo Rais kumteua kuwa mbunge sio kipaumbele chake na wala sio muhimu.

Tutege sikio Dodoma
Mkuu we chuki yako ni kwa Chakubanga tu! Mvumilieni kama wengine walivyomvumilia wakati wa Jiwe!
 
Kundi la itikadi ya mwendazake lina nguvu sana, Samia awe makini kama anataka kulishughulikia ..wapo wengi mno, wabunge tu ni takribani 180 wameapa kufa na sera za marehemu mzee wao.
 
hao 2025 wanarudi mtaani kiulaini
 
Mkuu we chuki yako ni kwa Chakubanga tu! Mvumilieni kama wengine walivyomvumilia wakati wa Jiwe!
Sio chuki
ni tabia yake inajieleza na ndiyo tunayo ifafanua hapa
 
Pole Pole ni kijana jeuri asiye na busara, wakati bado ana safari ndefu ya kisiasa, pride na ujuaji utamu cost big time, hamna anayempiganga bosi hadharani akabaki salama, so ajirekebishe na ajue dunia ni uwanja usio fair.
Atumie kanuni never outshine ur master ooh or else atakuwa in big trouble
 
Kundi la itikadi ya mwendazake lina nguvu sana, Samia awe makini kama anataka kulishughulikia ..wapo wengi mno, wabunge tu ni takribani 180 wameapa kufa na sera za marehemu mzee wao.
Duh hawana nguvu hao bongo hii Rais ana power kuliko chochote akiamua hamna wakumpinga kabisa
 
Jerry Slaa ni kijana wa CCM aliyelelewa na kufundishwa maadili ya CCM, makosa aliyofanya hakujua madhara yake,
Kwa sisi wakongwe ni kuwa Jerry Slaa alifanya utoto na naamini baada ya kuitwa kwenye Halmashauri Kuu ya CCM ametubu,
hivyo adhabu yake yaweza kuwa ya kawaida.

Gwajima-huyu alidanganywa na wale waliotaka kumkwamisha Rais Samia kwa kupambana na sera mpya za mageuzi alizoleta Rais Samia,
Alidanganywa na wale waliotaka kudhoofisha urais wa Samia,
naamini baada ya muda kupita amegundua kuwa amekosea na naimani leo ameomba radhi,
Gwajima ana akili hivyo lazima ameomba radhi sababu anahitaji kuendelea kushamiri katika siasa ili mambo yake yaende vizuri.

Polepole amedhamiria kuchafua serikali ya Rais Samia,
ameamua kuwa mwanaharakati ya upinzania ndani ya CCM,
Kwa nafasi aliyokuwa nayo, Polepole angeweza kukutana na hao anaosema wanafanya vibaya na kuwashauri namna bora ya kufanya,
Amegeuka kulaumu serikali na Rais, huku akijifanya kuwa muumini wa CCM kumbe ni Mbwa mwitu,
Amejawa kashfa na kiburi kwa viongozi wa Chama na wateule wa awamu ya sita,
Anaona kama yeye ndiye alitakiwa kuteua baraza la mawaziri lakini sio Rais Samia
Ninaamini polepole hata omba radhi siku ya leo sababu ameweka hoja kuwa hakuna kitu alicho kosea,
amekiri yuko tayari kufukuzwa na hana cha kupoteza.
amekiri ubunge si kitu anaweza kurudi mtaani akaendelea kuishi kama kawaida,
hivyo Rais kumteua kuwa mbunge sio kipaumbele chake na wala sio muhimu.

Tutege sikio Dodoma
Idumu migogoro ndani ya Chama Cha Mazuzu.
Viva Migogoro Viva
 
Kwa hiyo Jery alidanganya kuwa wabunge hawakatwi kodi?
 
Kwasiasa za Tz hata wakipigwa chini hawana madhara kwa chama, Slaa na Gwaji boy wataonywa tu,ila slowslow anaweza kupewa angalizo la muda fulani ili wamuwekee mtego na atanasa fasta kabla hata ya mwezi wa 6 neksti year
 
Back
Top Bottom