Jerry Slaa ni utoto, Gwajima alidanganywa, Polepole amedhamiria

Pole Pole ni kijana jeuri[emoji848][emoji848]
Jeuri yake itamu cost, na ana safari ndefu angepiga tu kimya, maana akiwa na madaraka wote waliokosoa walipotezea, Sasa aangalie na yeye karma isije kumkula
 
Pole Pole ni kijana jeuri asiye na busara, wakati bado ana safari ndefu ya kisiasa, pride na ujuaji utamu cost big time, hamna anayempiganga bosi hadharani akabaki salama, so ajirekebishe na ajue dunia ni uwanja usio fair.
Atumie kanuni never outshine ur master ooh or else atakuwa in big trouble
48 law of power
 
Jerry Slaa ni kijana wa CCM aliyelelewa na kufundishwa maadili ya CCM, makosa aliyofanya hakujua madhara yake,
Kwa sisi wakongwe ni kuwa Jerry Slaa alifanya utoto na naamini baada ya kuitwa kwenye Halmashauri Kuu ya CCM ametubu,
hivyo adhabu yake yaweza kuwa ya kawaida.

Gwajima-huyu alidanganywa na wale waliotaka kumkwamisha Rais Samia kwa kupambana na sera mpya za mageuzi alizoleta Rais Samia,
Alidanganywa na wale waliotaka kudhoofisha urais wa Samia,
naamini baada ya muda kupita amegundua kuwa amekosea na naimani leo ameomba radhi,
Gwajima ana akili hivyo lazima ameomba radhi sababu anahitaji kuendelea kushamiri katika siasa ili mambo yake yaende vizuri.

Polepole amedhamiria kuchafua serikali ya Rais Samia,
ameamua kuwa mwanaharakati ya upinzania ndani ya CCM,
Kwa nafasi aliyokuwa nayo, Polepole angeweza kukutana na hao anaosema wanafanya vibaya na kuwashauri namna bora ya kufanya,
Amegeuka kulaumu serikali na Rais, huku akijifanya kuwa muumini wa CCM kumbe ni Mbwa mwitu,
Amejawa kashfa na kiburi kwa viongozi wa Chama na wateule wa awamu ya sita,
Anaona kama yeye ndiye alitakiwa kuteua baraza la mawaziri lakini sio Rais Samia
Ninaamini polepole hata omba radhi siku ya leo sababu ameweka hoja kuwa hakuna kitu alicho kosea,
amekiri yuko tayari kufukuzwa na hana cha kupoteza.
amekiri ubunge si kitu anaweza kurudi mtaani akaendelea kuishi kama kawaida,
hivyo Rais kumteua kuwa mbunge sio kipaumbele chake na wala sio muhimu.

Tutege sikio Dodoma
Rubbish
 
Hangaya anajichafua mwenyewe,anaropoka kma kalewa alkasusu mix nyagi
 
.
747405519.jpg
 
Back
Top Bottom