Jinai ni jinai tu, hata kama jinai hiyo inatendwa ili kumsaidia mjane wa kigogo.
Kwenye clip hii (kuanzia dakika ya 1 na sekunde 3), Jerry Slaa anakiri kushirikiana na Msama kufanikisha mpango wa kumsaidia mjane wa kigogo mmoja kulinunua eneo la shule ya sekondari.
Slaa aliitenda jinai hii akiwa siyo waziri wa ardhi. Baada ya kuteuliwa kuwa waziri wa ardhi ndipo anabaini kuwa mmiliki wa eneo la shule ambalo Slaa alishiriki kulipora siyo mjane wa kigogo bali ni Msama.
Hiki ndicho kimemtia hasira Slaa na kuamua kumtaja Msama kama tapeli namba 3 wa viwanja hapa jijini DSM.
Maswali ya kujiuliza.
1. Kwa kuwa Slaa alishirikiana na Msama kupora eneo la shule, yeye (Slaa) siyo tapeli?
2. Je, kama kweli mmiliki angeendelea kuwa mjane wa kigogo, Slaa angemnyang'anya na kulirejesha hilo eneo shule kwenye shule?
Kupitia clip hii ni dhahiri kuwa Jerry Slaa anatumia nafasi ya waziri wa ardhi kuwakomoa baadhi ya watu aliokosana nao.
Kama Msama ni tapeli namba 3 basi Slaa ni tapeli namba 2.

Wewe ndio hujaelewa, kasema Msama aliogopa kuja front akamweka mke wa kiongozi mstaafu. So Jerry akiwa waziri ndio alikua anapush hilo suala ndio akajua kushtuka kwamba Mama haelewi chochote na eneo ni kwa ajili ya kujengewa shule ya serikali.
So hakushiriki kupora ardhi ila alishiriki kutaka kumsaidia mama kupata alichodai ni "eneo lake" kumbe ni "eneo la shule". Sasa hapo kahusikaje wakati alishtuka baada ya uchunguzi?