DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Uzuri Netanyahu huwa anajibu kwa mabomu ya kutosha.Tukio hilo limeacha watu wengine watatu wakijeruhiwa katika Mji wa Neve Yaakov ambapo Polisi wameelezea kuwa hilo ni shambulio la kigaidi na ni baya kutokea katika miaka ya hivi karibuni.
Vyombo vya habari vya Jerusalem vimemtaja mhusika aliyefanya shambulizi hilo kwa risasi kuwa ni raia wa Palestina.
Inaelezwa kuwa mtu huyo alifyatua risasi wakati waumini wakitoka kwenye ibada kwenye eneo la tukio, ndipo maafisa usalama nao wakamshambulia na kumuua.
=======================
Jerusalem synagogue attack: Seven killed in shooting
Seven people have been shot dead at a synagogue in East Jerusalem, the most killed in an attack of this kind for years. At least three more people were injured.
The incident happened in the city's Neve Yaakov neighbourhood at about 20:15 local time (18:15 GMT).
Police described the attacker as a "terrorist" and said he had been "neutralised".
Local media identified him as a Palestinian man from East Jerusalem.
Speaking at the scene, Israeli police commissioner Kobi Shabtai called it "one of the worst attacks we have encountered in recent years".
Israeli worshippers had gathered for prayers at the start of the Jewish Sabbath in a synagogue in the Jewish settlement and were leaving when the gunman opened fire. Police say that officers then shot him dead.
Forensic teams are investigating a white car that appears to have been driven by the gunman.
Palestinian militant groups praised the attack, but did not say one of their members was responsible.
The attack was celebrated by Palestinians in the West Bank and the Gaza Strip with rallies and the handing out of sweets.
We're close to the synagogue where the police have shut off a big area - armed security forces are everywhere and ambulances are still rushing past. A helicopter is circling overhead.
In the middle of the road is a smashed-up car. The windscreen on the driver's side is punctured with bullet holes. A police forensics officer with a head torch is scouring the back of the car. They tell us to move back.
An eyewitness tells me she saw the gunman here in the street, possibly after he was shot by the police, firing into the air as security forces ran after him. This junction is a distance away from the synagogue, so it seems this is where he tried to escape.
We've heard a few loud bangs, possibly coming from a big Palestinian neighbourhood nearby, suggesting clashes between residents and the Israeli forces.
The attack happened on Holocaust Memorial Day, which commemorates the six million Jews and other victims who were killed in the Holocaust by the Nazi regime in Germany.
"To attack worshippers at a synagogue on Holocaust Memorial Day, and during Shabbat, is horrific. We stand with our Israeli friends," British Foreign Secretary James Cleverly wrote on Twitter.
US Secretary of State Antony Blinken said: "The United States condemns in the strongest terms the horrific terrorist attack."
President Joe Biden talked with Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu and offered all "appropriate means of support", the White House said.
Shortly after the incident, Mr Netanyahu visited the site, as did the controversial far-right National Security Minister, Itamar Ben-Gvir.
Source: BBC
Hao watu Saba waliokufa piga hesabu ya wapalestina 120 kuuawa....subiri kama wiki moja mbele hii comment yangu utaikumbukaKatika hili nasimama na wapalestina!
Wameuawa sana, wameteswa sana na magaidi wa kiyahudi, wauawe tu waisrael
Hamna, watamalizia hasira Gaza,, israel huwa hashambulii ukingo wa magharibi(west bank),sana sana labda afanye operation kama ya majuzi, iliyoua wapale 9 ja kusababisha tukio la jana la kulipa kisasi.Jenin itawaka moto
Hamna, watamalizia hasira Gaza,, israel huwa hashambulii ukingo wa magharibi(west bank),sana sana labda afanye operation kama ya majuzi, iliyoua wapale 9 ja kusababisha tukio la jana la kulipa kisasiJenin itawaka moto
Kama vita ya gaza itaanza, raia wa palestine ya gaza, watakufa zaidi ya 1000Hao watu Saba waliokufa piga hesabu ya wapalestina 120 kuuawa....subiri kama wiki moja mbele hii comment yangu utaikumbuka
Tena wameviua kwa uchache sana, waongeze mbinu za kuwasaka.Katika hili nasimama na wapalestina!
Wameuawa sana, wameteswa sana na magaidi wa kiyahudi, wauawe tu waisrael
Afu nilisahau Jenin ni kambi ya Wakimbizi, mara nyingi IDF haiendi hapoHamna, watamalizia hasira Gaza,, israel huwa hashambulii ukingo wa magharibi(west bank),sana sana labda afanye operation kama ya majuzi, iliyoua wapale 9 ja kusababisha tukio la jana la kulipa kisasi.
Mkipigwa mnalia lia. Hiyo gaidi nyumba yao inabomolewa, washapewa muda wahameTena wameviua kwa uchache sana, waongeze mbinu za kuwasaka.
Nani kapigwa wewe mimi Mtanzania mazee.Mkipigwa mnalia lia. Hiyo gaidi nyumba yao inabomolewa, washapewa muda wahame
Sema Samaria na Judea siyo west bank. Iyo west bank ni ya kwenu huko.Hamna, watamalizia hasira Gaza,, israel huwa hashambulii ukingo wa magharibi(west bank),sana sana labda afanye operation kama ya majuzi, iliyoua wapale 9 ja kusababisha tukio la jana la kulipa kisasi.
So sad Kuna nyumba inaenda kubomolewa Kama adhabuTukio hilo limeacha watu wengine watatu wakijeruhiwa katika Mji wa Neve Yaakov ambapo Polisi wameelezea kuwa hilo ni shambulio la kigaidi na ni baya kutokea katika miaka ya hivi karibuni.
Vyombo vya habari vya Jerusalem vimemtaja mhusika aliyefanya shambulizi hilo kwa risasi kuwa ni raia wa Palestina.
Inaelezwa kuwa mtu huyo alifyatua risasi wakati waumini wakitoka kwenye ibada kwenye eneo la tukio, ndipo maafisa usalama nao wakamshambulia na kumuua.
=======================
Jerusalem synagogue attack: Seven killed in shooting
Seven people have been shot dead at a synagogue in East Jerusalem, the most killed in an attack of this kind for years. At least three more people were injured.
The incident happened in the city's Neve Yaakov neighbourhood at about 20:15 local time (18:15 GMT).
Police described the attacker as a "terrorist" and said he had been "neutralised".
Local media identified him as a Palestinian man from East Jerusalem.
Speaking at the scene, Israeli police commissioner Kobi Shabtai called it "one of the worst attacks we have encountered in recent years".
Israeli worshippers had gathered for prayers at the start of the Jewish Sabbath in a synagogue in the Jewish settlement and were leaving when the gunman opened fire. Police say that officers then shot him dead.
Forensic teams are investigating a white car that appears to have been driven by the gunman.
Palestinian militant groups praised the attack, but did not say one of their members was responsible.
The attack was celebrated by Palestinians in the West Bank and the Gaza Strip with rallies and the handing out of sweets.
We're close to the synagogue where the police have shut off a big area - armed security forces are everywhere and ambulances are still rushing past. A helicopter is circling overhead.
In the middle of the road is a smashed-up car. The windscreen on the driver's side is punctured with bullet holes. A police forensics officer with a head torch is scouring the back of the car. They tell us to move back.
An eyewitness tells me she saw the gunman here in the street, possibly after he was shot by the police, firing into the air as security forces ran after him. This junction is a distance away from the synagogue, so it seems this is where he tried to escape.
We've heard a few loud bangs, possibly coming from a big Palestinian neighbourhood nearby, suggesting clashes between residents and the Israeli forces.
The attack happened on Holocaust Memorial Day, which commemorates the six million Jews and other victims who were killed in the Holocaust by the Nazi regime in Germany.
"To attack worshippers at a synagogue on Holocaust Memorial Day, and during Shabbat, is horrific. We stand with our Israeli friends," British Foreign Secretary James Cleverly wrote on Twitter.
US Secretary of State Antony Blinken said: "The United States condemns in the strongest terms the horrific terrorist attack."
President Joe Biden talked with Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu and offered all "appropriate means of support", the White House said.
Shortly after the incident, Mr Netanyahu visited the site, as did the controversial far-right National Security Minister, Itamar Ben-Gvir.
Source: BBC
Huwa wanaenda, hata juzi wameenda kujaribu kulamata watu wanaodai walipanga kufanya ugaidi, matokeo yake kukawa na shootout, wakaua wapale karibu 10,, shambulio la jana ni response ya operation ya juzi,Afu nilisahau Jenin ni kambi ya Wakimbizi, mara nyingi IDF haiendi hapo
Mwanzo 22:17Katika hili nasimama na wapalestina!
Wameuawa sana, wameteswa sana na magaidi wa kiyahudi, wauawe tu waisrael
Dah!...hii serikali ya Sasa ya Netanyau imejaa viongozi wa mrengo mkali wa kulia wenye sera kali dhidi ya wapalestina.....Mungu awalinde Vita visizuke huko Gaza.The attack was celebrated by Palestinians in the West Bank and the Gaza Strip with rallies and the handing out of sweets.
Israel kaanza kwanza na baba wa kufadhili ugaidi, Iran. Vitoto vitafuata baadae.Dah!...hii serikali ya Sasa ya Netanyau imejaa viongozi wa mrengo mkali wa kulia wenye sera kali dhidi ya wapalestina.....Mungu awalinde Vita visizuke huko Gaza.
Hapa itakua walikuwa wakizungumziwa wachina,maana ni wengi kuliko jamii yoyote ileHazo 22:17
[17]katika kubariki nitakubariki, na katika kuzidisha nitauzidisha uzao wako kama nyota za mbinguni, na kama mchanga ulioko pwani; na uzao wako utamiliki mlango wa adui zao;
That in blessing I will bless thee, and in multiplying I will multiply thy seed as the stars of the heaven, and as the sand which is upon the sea shore; and thy seed shall possess the gate of his enemies;