Jerusalem: Shambulio la Sinagogi, Watu saba wauawa

Jerusalem: Shambulio la Sinagogi, Watu saba wauawa

Israel kaanza kwanza na baba wa kufadhili ugaidi, Iran. Vitoto vitafuata baadae.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Israel atamfanya nini Iran wewe!!..kuingia Iran mpaka marekani awepo,ndiyo maana wakati wa trump wakishirikiana na saudia wakashambulia meli na kuidingizia Iran ili kiwake, Trump aligoma japo imemkosti
 
Mwanzo 22:17
[17]katika kubariki nitakubariki, na katika kuzidisha nitauzidisha uzao wako kama nyota za mbinguni, na kama mchanga ulioko pwani; na uzao wako utamiliki mlango wa adui zao;
That in blessing I will bless thee, and in multiplying I will multiply thy seed as the stars of the heaven, and as the sand which is upon the sea shore; and thy seed shall possess the gate of his enemies;
Hyo biblia yenu iliyotamka hayo hao israel yenyewe hawaitambui wanaona km kitabu cha hadith tu hila nyinyi kwa kujipendekeza
 
Huwa wanaenda, hata juzi wameenda kujaribu kulamata watu wanaodai walipanga kufanya ugaidi, matokeo yake kukawa na shootout, wakaua wapale karibu 10,, shambulio la jana ni response ya operation ya juzi,
Israel hawezagi kuingia gaza,, ndo maana huwa anashambulia kwa mabomu na makombora,
Hapo gaza kuna askari wa israel wametekwa leo karibu mwaka wa 10,, israel hawawezi kuingia kuwaokoa
Naona kalipiza kwa Iran
 
Israel atamfanya nini Iran wewe!!..kuingia Iran mpaka marekani awepo,ndiyo maana wakati wa trump wakishirikiana na saudia wakashambulia meli na kuidingizia Iran ili kiwake, Trump aligoma japo imemkosti
Iran imeshambuliwa leo
 
Mwanzo 22:17
[17]katika kubariki nitakubariki, na katika kuzidisha nitauzidisha uzao wako kama nyota za mbinguni, na kama mchanga ulioko pwani; na uzao wako utamiliki mlango wa adui zao;
That in blessing I will bless thee, and in multiplying I will multiply thy seed as the stars of the heaven, and as the sand which is upon the sea shore; and thy seed shall possess the gate of his enemies;
Hizi unabii ni fake,, tangu israel iumbwe, haijawahi simama kama taifa linalojitegemea, daima imekua vassal state, ya taifa kubwa from get go,, story sijui ya king solomon mfalme mkuu, ni uongo,, hakujawahi kuwa na mfalme solomon mwenye empire kubwa ya israel kama wanavyosema,, mfalme Daud pia ni fake news, hajawahi kuwepo, na story yake, inashindwa kubalance na mainstream history,, ufalme wake mkuu, unashindwa kufit kwenye history timelines ya eneo hilo,,
Na kuna achielogists, wamekiri hizo habari za solomoni, Daud,, ni fake news😁
 
Mauaji Ni mauaji,tangu waanze Vita Israel na Palestine wote wanaokoteza watu ,idadi Ni wewe mbumbumbu , msiba unamuuma aliyefiwa,
Vita sio nzuri kwani site tumeumbwa kwa mifupa,nyamanyama,majimaji, na ngozi, so muda ukifika unauwawa.
Israel pamoja na kujidai na high tech bado daily wanakufa
 
Jitihadq zinahitajika zaidi kudhibiti ugaidi
 
Back
Top Bottom