Jerusalem: Shambulio la Sinagogi, Watu saba wauawa

Israel kaanza kwanza na baba wa kufadhili ugaidi, Iran. Vitoto vitafuata baadae.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Israel atamfanya nini Iran wewe!!..kuingia Iran mpaka marekani awepo,ndiyo maana wakati wa trump wakishirikiana na saudia wakashambulia meli na kuidingizia Iran ili kiwake, Trump aligoma japo imemkosti
 
Hyo biblia yenu iliyotamka hayo hao israel yenyewe hawaitambui wanaona km kitabu cha hadith tu hila nyinyi kwa kujipendekeza
 
Naona kalipiza kwa Iran
 
Israel atamfanya nini Iran wewe!!..kuingia Iran mpaka marekani awepo,ndiyo maana wakati wa trump wakishirikiana na saudia wakashambulia meli na kuidingizia Iran ili kiwake, Trump aligoma japo imemkosti
Iran imeshambuliwa leo
 
Hizi unabii ni fake,, tangu israel iumbwe, haijawahi simama kama taifa linalojitegemea, daima imekua vassal state, ya taifa kubwa from get go,, story sijui ya king solomon mfalme mkuu, ni uongo,, hakujawahi kuwa na mfalme solomon mwenye empire kubwa ya israel kama wanavyosema,, mfalme Daud pia ni fake news, hajawahi kuwepo, na story yake, inashindwa kubalance na mainstream history,, ufalme wake mkuu, unashindwa kufit kwenye history timelines ya eneo hilo,,
Na kuna achielogists, wamekiri hizo habari za solomoni, Daud,, ni fake news😁
 
Mauaji Ni mauaji,tangu waanze Vita Israel na Palestine wote wanaokoteza watu ,idadi Ni wewe mbumbumbu , msiba unamuuma aliyefiwa,
Vita sio nzuri kwani site tumeumbwa kwa mifupa,nyamanyama,majimaji, na ngozi, so muda ukifika unauwawa.
Israel pamoja na kujidai na high tech bado daily wanakufa
 
Jitihadq zinahitajika zaidi kudhibiti ugaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…