Uchaguzi 2020 Jery Slaa, unaweza kufanya zaidi ya kusugua miguu ya wanawake kwenye kampeni?

Yapo Mambo yanafanywa na wagombea wa chama Cha mapinduzi wakiwemo vijana yanatia najisi jamii wanayotaka kuiongoza. Jery Slaa kumnawisha mwanamke miguu Kama njia ya kuomba kura ni fedhea na ulaghai usiokubalika.

Siasa Ni hoja, tunategemea kuwa na viongozi wajenga hoja siyo viongozi wanafiki wanaofanya Mambo ambayo wakichagulia awatayafanya Tena. Nchi haina tatizo la waosha miguu ina tatizo la miundombinu, nchi haina tatizo la wapembua mchele ina tatizo la huduma za afya, nchi haina tatizo la watoa Burudani ina changamoto kubwa ya maji na elimu...tunataka watu wakutuletea haya, tunataka watatua changamoto siyo waosha miguu

Acheni kujidhalilisha na kujidhalilisha chama, mnakifanya chama kionekana chakisanii kwa sababu mnayofanya kwenye kampeni siyo realistic.

Mimi siwezi kupiga kura kwa mwanaume anayejidhalilisha na kukaa saloon kisa Ubunge kwa sababu hiki anachokifanya ndicho atakachokifanya akifika Bungeni....atalala na kujenga hoja zisizolitoa taifa hapa lilipo.
Wanawake wa Chadema katika majimbo yote nchini wanaonyesha ujasiri na moyo mkuu kuliko matendo yanayofanywa na hawa wanaume wasiojitambua.......inakera sana kuteua wagombea wa aina ya Jerry
Mnataka miundombinu ipi wakati mnaiponda, barabara, flyovers, change overs, meli, vivuko, madaraja, zahanati, vitu vya afya, mahospitali vyote mnavipondea kwamba ni maendeleo ya vitu na siyo ya watu
 
tapatalk_1601026935710.jpeg
 
Jua akishinda hio fedhea ataifuta kupitia ela za wananchi. Hao ndio wanaotafta ulaji
 
Yapo Mambo yanafanywa na wagombea wa Chama cha Mapinduzi wakiwemo vijana yanatia najisi jamii wanayotaka kuiongoza. Jery Slaa kumnawisha mwanamke miguu kama njia ya kuomba kura ni fedhea na ulaghai usiokubalika.

Siasa ni hoja, tunategemea kuwa na viongozi wajenga hoja siyo viongozi wanafiki wanaofanya mambo ambayo wakichagulia hawatayafanya tena. Nchi haina tatizo la waosha miguu, ina tatizo la miundombinu, nchi haina tatizo la wapembua mchele ina tatizo la huduma za afya, nchi haina tatizo la watoa burudani ina changamoto kubwa ya maji na elimu. Tunataka watu wakutuletea haya, tunataka watatua changamoto siyo waosha miguu.

Acheni kujidhalilisha na kujidhalilisha chama, mnakifanya chama kionekane cha kisanii kwa sababu mnayofanya kwenye kampeni siyo realistic.

Mimi siwezi kupiga kura kwa mwanaume anayejidhalilisha na kukaa saloon kisa Ubunge kwa sababu hiki anachokifanya ndicho atakachokifanya akifika Bungeni, atalala na kujenga hoja zisizolitoa taifa hapa lilipo.

Wanawake wa CHADEMA katika majimbo yote nchini wanaonyesha ujasiri na moyo mkuu kuliko matendo yanayofanywa na hawa wanaume wasiojitambua. Inakera sana kuteua wagombea wa aina ya Jerry.

View attachment 1580390
ulitaka amsugue nini?
 
kijana acha mchezo wako wa kusugua vidole wake za watu, utapigwa kipapai...!!
 
Nikajua ni Mimi tu nimekerwa na hii picha. Aisee ccm mnatufanya wote wajinga shenzi zenu safisheni makucha ya wake zenu sisi hatutak ujinga huu.
Ovyo sana
 
Yapo Mambo yanafanywa na wagombea wa Chama cha Mapinduzi wakiwemo vijana yanatia najisi jamii wanayotaka kuiongoza. Jery Slaa kumnawisha mwanamke miguu kama njia ya kuomba kura ni fedhea na ulaghai usiokubalika.

Siasa ni hoja, tunategemea kuwa na viongozi wajenga hoja siyo viongozi wanafiki wanaofanya mambo ambayo wakichagulia hawatayafanya tena. Nchi haina tatizo la waosha miguu, ina tatizo la miundombinu, nchi haina tatizo la wapembua mchele ina tatizo la huduma za afya, nchi haina tatizo la watoa burudani ina changamoto kubwa ya maji na elimu. Tunataka watu wakutuletea haya, tunataka watatua changamoto siyo waosha miguu.

Acheni kujidhalilisha na kujidhalilisha chama, mnakifanya chama kionekane cha kisanii kwa sababu mnayofanya kwenye kampeni siyo realistic.

Mimi siwezi kupiga kura kwa mwanaume anayejidhalilisha na kukaa saloon kisa Ubunge kwa sababu hiki anachokifanya ndicho atakachokifanya akifika Bungeni, atalala na kujenga hoja zisizolitoa taifa hapa lilipo.

Wanawake wa CHADEMA katika majimbo yote nchini wanaonyesha ujasiri na moyo mkuu kuliko matendo yanayofanywa na hawa wanaume wasiojitambua. Inakera sana kuteua wagombea wa aina ya Jerry.

View attachment 1580390
Duuu njaa mbaya aisee
Anaaibisha hat chama
 
Back
Top Bottom