TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Mkuu, asante kwa kunijuza uwepo wa mbinu mpya ya Kutafuta uungwaji mkono katika mchakato unaoendelea. Nitarudi kudadavua.TUJITEGEMEE YEHODAYA huyu angekuwa jimbo langu nisingemchagua, sijajua vipi kwenu nyie?.
acha wivuMke wake
Mpeleke na mkeo basi akasuguliwe kama huu ni wivuacha wivu
Leo umefunguka macho?Duuu njaa mbaya aisee
Anaaibisha hat chama
kumbe ni kweli wanawake hampendani, umeona mwenzio anafaidii.Mpeleke na mkeo basi akasuguliwe kama huu ni wivu
Niletee mkeo atarudi na majibukumbe ni kweli wanawake hampendani, umeona mwenzio anafaidii.
huwezi kuwa mwanaume kwa tabia hizi wewe hata kidogo.Niletee mkeo atarudi na majibu
I see huu ushamba. Amenikera. Kutafuta gani madaraka huko mpaka kujidharirisha? Hii aibu kubwaYapo Mambo yanafanywa na wagombea wa Chama cha Mapinduzi wakiwemo vijana yanatia najisi jamii wanayotaka kuiongoza. Jery Slaa kumnawisha mwanamke miguu kama njia ya kuomba kura ni fedhea na ulaghai usiokubalika.
Siasa ni hoja, tunategemea kuwa na viongozi wajenga hoja siyo viongozi wanafiki wanaofanya mambo ambayo wakichagulia hawatayafanya tena. Nchi haina tatizo la waosha miguu, ina tatizo la miundombinu, nchi haina tatizo la wapembua mchele ina tatizo la huduma za afya, nchi haina tatizo la watoa burudani ina changamoto kubwa ya maji na elimu. Tunataka watu wakutuletea haya, tunataka watatua changamoto siyo waosha miguu.
Acheni kujidhalilisha na kujidhalilisha chama, mnakifanya chama kionekane cha kisanii kwa sababu mnayofanya kwenye kampeni siyo realistic.
Mimi siwezi kupiga kura kwa mwanaume anayejidhalilisha na kukaa saloon kisa Ubunge kwa sababu hiki anachokifanya ndicho atakachokifanya akifika Bungeni, atalala na kujenga hoja zisizolitoa taifa hapa lilipo.
Wanawake wa CHADEMA katika majimbo yote nchini wanaonyesha ujasiri na moyo mkuu kuliko matendo yanayofanywa na hawa wanaume wasiojitambua. Inakera sana kuteua wagombea wa aina ya Jerry.
View attachment 1580390
hii nimeipenda asieeYapo Mambo yanafanywa na wagombea wa Chama cha Mapinduzi wakiwemo vijana yanatia najisi jamii wanayotaka kuiongoza. Jery Slaa kumnawisha mwanamke miguu kama njia ya kuomba kura ni fedhea na ulaghai usiokubalika.