Uchaguzi 2020 Jesca Kishoa Kafulila kuchukua fomu kugombea Ubunge CHADEMA Iramba ni kejeli na dharau kama si matusi kwa vijana wenzako

Pongezi nyiiiiiiiiiiiiiiiiiiingi, makomredi bana utawajua tu. Kidumu Chama cha mapinduzi ndugu yangu.
 
Watu wanaojifanya wao tu ndio wanaumiliki wa jimbo fulani na wanadamu wengine hawana haki ya kugombea ni ukuda sana

Libaba zima lipo humu kulia mwanamke kuchukua fomu?

Hayo unayolalamikia hapa ni udada tu uliokujaa,maana ni maoni yako binafsi..

Yaani kutokusalimia mtu ndio kinakuuma asigombee?

Waache wapiga kura ndio wamkatae sio wewe arm chair useless judge!
 
Kama ni hivyo, si mshawisheni mnaeona anastahili achukue fomu za kugombea ubunge? Na kama atakatwa baada ya wengi wenu kumpigia kura yule ambae mtakuwa na imani ni bora kuliko Jesca hata kama ni wa chama kingine. Ila mkumbuke kuwa mbunge wa chama cha upinzani huwa anakuwa na wakati mgumu hasa kama halmashauri zimeshikwa na chama kingine. Aidha, alisema kuwa alikuwa akizuiwa kufanya shughuli zake kwa kubezwa kuwa yeye hana jimbo. Lakini ni vizuri sana kuwa umeweka mapungufu yake yote wazi ili kama atapata nafasi ya uwakilishi ajirekebishe na ajue kuwa kuna watu wanamfuatilia ili kuhakikisha kuwa anawatendea haki waliompigia kura.

Amandla...
 
Unamaanisha ndugai kafanya makubwa kongwa kupiko Jesca?
Acha uzwazwa....
 
Chadema kuna rating, kama hakufanya lolote according to Chadema ratings, atafeli kupata marks za kutosha, keep cool!

Soma thread hii!Uchaguzi 2020 - Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Arusha asema Nassari alimtumia sms akitaka kuhakikishiwa kupewa nafasi ya kugombea Ubunge tena
Uchaguzi 2020 Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Arusha asema Nassari alimtumia sms akitaka kuhakikishiwa kupewa nafasi ya kugombea Ubunge tena.
 
Tukianza kuulizana kwa style hii utakuta hakuna mtu atabaki salama
 
Tukianza kuulizana kwa style hii utakuta hakuna mtu atabaki salama
Mkuu hapo kuna hoja inakuaje mtu unapata nafasi ya kuwakilisha watu katika eneo fulan then huonekani miaka kadhaa baadae unarud tena kuomba kwani shida inakuaga ni nini. Kwa nini usirudi tena eneo hilo na kushiriki nao kwenye shughuli za kijamii kwa hali na mali. Huwa siwaelewi watu wa aina hii, huwa wanaenda wapi baada ya uchaguzi na kushinda huwaoni tena.
 
Why Jesca na sio wengine? Hili linatokea almost kwa Wabunge wote hasa wa CCM ambao wanategemea rushwa kupitishwa...sio jambo geni kwa siasa za TZ
 
Why Jesca na sio wengine? Hili linatokea almost kwa Wabunge wote hasa wa CCM ambao wanategemea rushwa kupitishwa...sio jambo geni kwa siasa za TZ
Nakubali na mimi nawazungumzia wabunge wote wenye kitabia hiki ambacho sio kizuri. Jesca alikuwa viti maalum ilitakiwa awe mstari wa mbele kurudisha fadhila na kuweka mazingira mazuri. Na kama haitoshi hawa wanachi sio kwamba wanahitaji mapesa mengi kutoka kwao just uwepo wao eneo husika huwa linaleta faraja sana.
Namtakia kila la heri katika mapambano yake.
 
Ni kweli mkuu ....Jesca tulimpa support kubwa Sana!
Ila hakufanya jitihada yoyote ya kujenga Chama,!
Nina wasi2 CHADEMA hawajaweka misingi ya kuhakikisha wabunge wake wa Viti Maalum wanafanya kazi kwenye majimbo husika.
 
Ni kweli mkuu ....Jesca tulimpa support kubwa Sana!
Ila hakufanya jitihada yoyote ya kujenga Chama,!
Nina wasi2 CHADEMA hawajaweka misingi ya kuhakikisha wabunge wake wa Viti Maalum wanafanya kazi kwenye majimbo husika.
Sawa msaidieni tena yote heri mkuu, lakin kuna yule mtu wa kuvaa skafu ambaye kuna Prof kakimbia baada ya kuambiwa anamfuata mamba kwenye maji tulivu ajipange vizuri
 
Sawa msaidieni tena yote heri mkuu, lakin kuna yule mtu wa kuvaa skafu ambaye kuna Prof kakimbia baada ya kuambiwa anamfuata mamba kwenye maji tulivu ajipange vizuri
Mamba majini Ni mdudu hatari,!
 
Nakushauri utulie tulii mwacheni mama wa watu apiganie haki yake.

Ukitaka mbunge aliye yafanikisha yoote hayo uliyo muuliza mh Kishoa huwezi kumpata kamwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…