Jesca Magufuli achangia Ujenzi Nyumba ya Katibu UVCCM Wilaya ya Chato. Asisitiza Kumuenzi Hayati Magufuli

Huyu si ndio alipata zero harafu akaonekana Udom? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Saizi wanamsogeza kwenye ulaji soon mtashika ni Mbunge huku watu wa huko wanakenua tuu [emoji16][emoji16]
Bora hata huyu aliyefanya kwa akili yake, mbona yupo kibaka aliyeiba mitihani kabisa na humshangai umeshamzoea!.
 
Hakuna mtoto wake aliyepata Zero, kutokuwa na hakika ya jibu ni kuropoka!!
Matokeo yaliwekwa humu jf,usijitoe ufahamu kutetea ujinga kisa wewe ni mnufaika.

Mtu mkatili kama yule siwezi mtetea Kwa lolote.

Mwisho nakumbuka Mzee wangu alikaa miaka 2 ndio kuja kupata pension sijui angekufa kabla ingekuja e lakini humwambii kitu kuhusu Magufuli ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Safi sana ana uthubutu na moyo kama mzee jpm!
 
TANU YOUTH LEAGUE ilikuwa inawalea vijana kuwa wazalendo, lakini UVCCM ya leo inawafunza vijana kuwa majambazi ma mafisadi kupitia siasa.

UVCCM ndiyo chanzo cha wasiojulikana kupitia green guard.

Ukitaka kuijua UVCCM ya leo, mtazame muuaji Makonda, jambazi Sabaya, fisadi January and the like. Hakuna UVCCM aliyenyoka.

Kusaidia UVCCM, kwa kiasi kikubwa ni kusaidia wahalifu wa kuliharibu Taifa. UVCCM ndiyo genge la uhalifu la CCM. Hawa ndiyo huwa wanatrka watu, wanajeruhi na wakati mwingine hata kuua.

Tanzania ingekuwa nafuu zaidi bila ya UVCCM. Bila ya UVCCM, watanzania wengi wangekuwa hai mpaka leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ