Jesca Magufuli achangia Ujenzi Nyumba ya Katibu UVCCM Wilaya ya Chato. Asisitiza Kumuenzi Hayati Magufuli

Baba yako ana akili sana, anaona vitu kwa uhalisia, Mungu ambariki aishi sana.
 
Like father like daughter,
Kameanza kutembea kwenye nyayo za JPM


 
Huyu si ndio yule mlisema alipataga zero lakini akaenda UDOM? 😁😁
 
Huyu binti wa Magufuli ana kila dalili ya sifa za aliyekua kipenzi cha watanzania hayati baba yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…