Jesca Magufuli afurahi kupanda matatu yenye picha za babake jijini Nairobi

Ikaria

Member
Joined
Jul 17, 2019
Posts
93
Reaction score
238
20240511_222625.jpg
Binti ya Hayati Rais John Pombe Magufuli, Jessica Magufuli, akiwa ni mwenye furaha baada ya kupanda matatu yenye graffiti za sura ya marehemu babake Jijini Nairobi.

Matatu ni neno la mtaa lenye maana sawa na daladala, au basi au Coaster nchini Kenya.

Jessica alikuwa amezuru Kenya pamoja na mamake Janet Magufuli kwa mwaliko wa Mke wa Rais William Ruto, Rachel Ruto.

Kweli nimeamini nabii hakubaliki nyumbani.

Yaani basi zima limepambwa Magufuli tupu.

Lakini kwao Tanzania thubutuu!

Hata aliowapatia vyeo vya upendeleo, leo washamzika kwenye kaburi la sahau!

Uchawa ndiyo uchawa!
 
Kweli nimeamini nabii hakubaliki nyumbani.

Yaani basi zima limepambwa Magufuli tupu.

Lakini kwao Tz thubutuu!

Hata aliowapatia vyeo vya upendeleo, leo washamzika kwenye kaburi la sahau!

Uchawa ndiyo uchawa!
Wabongo ni wapuuzi sana muda mwingine. Wanamsahau na kumpotezea mtu aliyetupigisha hatua ndani ya miezi michache sana.
 
Naombeni FB,Inta,X au telegram yake nina salamu zake nataka kumpa, sijajua kama amenona hivi jamani😋
 
Binti ya Hayati Rais John Pombe Magufuli, Jessica Magufuli, akiwa ni mwenye furaha baada ya kupanda matatu yenye graffiti za sura ya marehemu babake Jijini Nairobi.

Matatu ni neno la mtaa lenye maana sawa na daladala, au basi au Coaster nchini Kenya.

Jessica alikuwa amezuru Kenya pamoja na mamake Janet Magufuli kwa mwaliko wa Mke wa Rais William Ruto, Rachel Ruto.

Naona ka komwe kwa mbalii
 
Mzilankende Alinyoosha Sana Tanzania Kwa Muda Mfupi Mno
Nawaleta Chuma Hiki Magufuli Na Sasa Kinatema Che~Che~Che
Miye Nakwenda Msoga Nalala Usingizi Baridii
By JK Wa Msoga Chalinze ~Tanzania
 
Back
Top Bottom