Jesca Magufuli amemtembelea Odinga ili kumtakia heri katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC)

Jesca Magufuli amemtembelea Odinga ili kumtakia heri katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC)

Hawa wote ulio wataja, umeona input yoyote kwenye bunge toka kwao? Kazi kujaza bunge with lowest IQ individuals, ndio maana matatizo ya wananchi hayapungui kila siku, sbb representatives wa aina hiyo, so hatutaki watu type hiyo umewataja hapo..!! Kazi yao bungeni ni kupinga Elimu kuwa haina maana, sasa nikwambie na wewe unaye wasupport, There is no alternative to Education yaani Elimu haina mbadala wake hadi sasa, so tunataka individuals ambao wana uwezo, sio hao wako kujaza idadi tu na kupiga makofi.
Waliosaini mikataba ya Kagoda, Richmond, IPTL, na ukwapuaji wa pesa kama za EPA na Escrow walikuwa wana elimu ya chini ya degree?... tunahitaji zaidi watu waadilifu na wazalendo. Elimu ni muhimu ila sio tiba ya mtu kutokuwa mshenzi.
 
Waliosaini mikataba ya Kagoda, Richmond, IPTL, na ukwapuaji wa pesa kama za EPA na Escrow walikuwa wana elimu ya chini ya degree?... tunahitaji zaidi watu waadilifu na wazalendo. Elimu ni muhimu ila sio tiba ya mtu kutokuwa mshenzi.


Umeongea vema kabisa Elimu + Uadilifu/Trust

Hapo ndio tutajenga nchi yetu pendwa, na Elimu iwe bora na watu wanahitimu kwa uelewa wa juu na uadilifu uwepo usio na shaka kwa wahitimu..
 
Umeongea vema kabisa Elimu + Uadilifu/Trust

Hapo ndio tutajenga nchi yetu pendwa, na Elimu iwe bora na watu wanahitimu kwa uelewa wa juu na uadilifu uwepo usio na shaka kwa wahitimu..
Mafisadi karibu wote walikuwa vipanga shuleni na vyuoni ila bahati mbaya uadilifu hawana. Wangetumia akili zao vizuri nchi ingepiga hatua.
 
Sasa rasmi familia ya JPM itadhibiti siasa za Geita na Chato kwa miaka kadhaa ijayo. Nguli wa siasa za Afrika Mashariki kaweka mkono wake.

Ndio yule wa zero? By the way Kalemani imemkata maana huyu kama hatokuwa Mbunge wa Kuchaguliwa (kupitishwa) lazima atateuliwa yeye au Mama yake apate ulaji wa kulisha familia eg Mke wa Kikwete na mtoto wa JK
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kuna watu wana nyota zao ,kuna watu wana bahati zao,kuna watu wana vibali vyao,kuna watu wana Sehemu zao kwenye Mioyo ya watu,kuna watu wana mvuto wao,kuna watu Hawatumii nguvu kupenya na kuteka mioyo ya watu.

Saa chache baada ya kupita tangia Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mheshimiwa Raila Odinga kupost Picha akiwa na Mtoto wa Hayati Daktari Mwalimu John Pombe Joseph Magufuli, Ndugu Jesca John Magufuli Imekuwa ni Gumzo Nchini Kenya.

Kwani wakenya Wameonyesha kukoshwa sana na picha hiyo ,wameonyesha kuvutiwa sana na muonekano wa Binti huyo Mrembo wa asili mwenye staha ,adabu,heshima, unyenyekevu,ukarimu na upendo wa hali ya juu sana.

Imefikia hatua wakenya kutamani Binti Huyo Mbichi mithili ya Bamia Teta apewe nafasi ya kuwahutubia Wakenya hususani vijana ili waweze kupata chakula cha ubongo yaani maarifa. Hasa kwa kuzingatia ametoka katika Nchi ambayo licha ya kuwa na makabila zaidi ya 120 lakini watu wanaishi kwa upendo ,umoja na mshikamano pasipo ubaguzi wa aina yoyote ile. Na kwamba mtu yeyote yule anaweza kuwa kiongozi wa ngazi ya juu kabisa bila kujali kabila lake au dini yake au jinsia yake au kipato chake.

Wekenya wengine wamefikia hatua ya kusema kuwa Binti huyo anapaswa kushawishiwa ili achukue Fomu ya kugombea Ubunge katika uchaguzi Mkuu wa hapo Baadaye Mwishoni Mwa Mwaka huu.

Hata Mimi nimewaunga mkono wa Kenya kuwa Huyu Binti anastahili kuingia Bungeni ,Maana hata vijana tu wa Huko Chato na Geita kwa ujumla wake wamekuwa wakikoshwa na kuvutiwa sana na ukaribu ambao amekuwa nao kwa jumuiya ya vijana . Kwa kuwasaidia katika mambo mbalimbali kama ambavyo miezi michache iliyopita aligawa bure kabisa Pikipiki mkoa mzima wa Geita. Na kuwaacha vijana wakitabasamu na kufurahi.
Screenshot_20250210-041355_1.jpg
Screenshot_20250210-202245_1.jpg


Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Back
Top Bottom