Jesca Msambatavangu: Askofu Gwajima kuna mambo alipitiliza kwenye matamko yake

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Mbunge wa Iringa Mjini, 2020 - 2025, Jesca Msambatavangu akipangua maswali ya Charles_william kupitia One on One ya Wasafi TV.

Amesema "Wakati fulani uangalie maoni unyaotoa wewe ni nani na una influence kwenye jamii. Na kingine kuna mambo yako sensitive ndo maamna kuna vitu vingine vyombo vya usalama vinakuwa makini sana"

Mbunge huyu amesema suala la kuongelea usalama na mamlaka ya uteuzi haikuwa sahihi kutokana na hadhi ya Josephat Gwajima. Na amegusia kwamba kila mtu hapendi masuala ya kutekana au kupotea hata Rais hapendi masuala ya kutekana.

Amesema maneno kama yale angeweza kusema mtu asiye na hadhi kutoka kijijini asingechukuliwa hatua.
 
IMG-20250708-WA0055.jpg
 
Je ni kweli angeyasema hayo maneno raia asiye na cheo chochote nchi hii angekuwepo adi leo? Hapo Jessica ametudanganya.
 
huyu wanamshughulikia soon, kiti chake anapewa msigwa. mark my words. wenzake walitegemea amponde gwajima, yeye hajampond akama walivyotegemea.
 
Amesema maneno kama yale angeweza kusema mtu asiye na hadhi kutoka kijijini asingechukuliwa hatua.
Kama mtu anachora picha na kuichoma anapotezwa, aachwe aliyezungumza vile? Gwajiboy na ukubwa na umaarufu wake wote bado wanatamani wamnywe supu hadharani eti oya oya ndo angeachwa aendelee kupeta!

Hapo kachanganya mafaili
 
Mbunge wa Iringa Mjini, 2020 - 2025, Jesca Msambatavangu akipangua maswali ya Charles_william kupitia One on One ya Wasafi TV.

Amesema "Wakati fulani uangalie maoni unyaotoa wewe ni nani na una influence kwenye jamii. Na kingine kuna mambo yako sensitive ndo maamna kuna vitu vingine vyombo vya usalama vinakuwa makini sana"

Mbunge huyu amesema suala la kuongelea usalama na mamlaka ya uteuzi haikuwa sahihi kutokana na hadhi ya Josephat Gwajima. Na amegusia kwamba kila mtu hapendi masuala ya kutekana au kupotea hata Rais hapendi masuala ya kutekana.

Amesema maneno kama yale angeweza kusema mtu asiye na hadhi kutoka kijijini asingechukuliwa hatua.

GvV260bXIAAEEAe.jpeg
 
Back
Top Bottom