Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Mbunge wa Iringa Mjini, 2020 - 2025, Jesca Msambatavangu akipangua maswali ya Charles_william kupitia One on One ya Wasafi TV.
Amesema "Wakati fulani uangalie maoni unyaotoa wewe ni nani na una influence kwenye jamii. Na kingine kuna mambo yako sensitive ndo maamna kuna vitu vingine vyombo vya usalama vinakuwa makini sana"
Mbunge huyu amesema suala la kuongelea usalama na mamlaka ya uteuzi haikuwa sahihi kutokana na hadhi ya Josephat Gwajima. Na amegusia kwamba kila mtu hapendi masuala ya kutekana au kupotea hata Rais hapendi masuala ya kutekana.
Amesema maneno kama yale angeweza kusema mtu asiye na hadhi kutoka kijijini asingechukuliwa hatua.
Kama mtu anachora picha na kuichoma anapotezwa, aachwe aliyezungumza vile? Gwajiboy na ukubwa na umaarufu wake wote bado wanatamani wamnywe supu hadharani eti oya oya ndo angeachwa aendelee kupeta!Amesema maneno kama yale angeweza kusema mtu asiye na hadhi kutoka kijijini asingechukuliwa hatua.