OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Hahaha uyu Ayatollah anafanya wairan weusi wavimbe kweli kweli ..kwa iyo waangushiwe tu ili wanyamaze kimya..Yaani wew umekaa utata utata tu, mambo ya chelsea/lampard kule yanakushinda. Sasa unatamani wananchi wa Iran wasio na hatia wauwawe wote kisa Ayatollah
Sent using Jamii Forums mobile app
Natania mkuu..
Sent using Jamii Forums mobile app