Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Mamlaka Agosti 23, 2025, Jeshi la Anga la Nigeria limewaokoa watu 76 waliokuwa wametekwa nyara, wakiwemo wanawake na watoto, baada ya kufanya shambulio la angani kwa usahihi kwenye ngome ya majambazi katika jimbo la Katsina Kaskazini Magharibi.
Operesheni hiyo ililenga eneo la Pauwa Hill katika Halmashauri ya Kankara kama sehemu ya msako dhidi ya kiongozi wa genge kwa jina la Babaro, anayetuhumiwa kuhusika na shambulio la msikiti mjini Malumfashi. Wakati wa uokoaji, mtoto mmoja alipoteza maisha, ingawa haijabainika kama kulikuwa na vifo vingine vya mateka au wanachama wa genge.
Shambulio hilo linaweza kuashiria hatua muhimu katika jitihada za kuvunja mitandao ya uhalifu kaskazini magharibi mwa Nigeria, ambako makundi yenye silaha yamekuwa yakiwatisha wakazi wa vijijini kwa miaka mingi.
======
The Nigerian Air Force has rescued 76 kidnap victims, including women and children, after a precision air strike on a bandit stronghold in northwest Katsina State, authorities said on Saturday
The operation, targeting Pauwa Hill in Kankara Local Government Area, was part of a manhunt for a gang leader named Babaro who has been linked to a mosque attack last week in the town of Malumfashi in northwest Nigeria. One child died during the rescue, the state’s Internal Security Ministry said, but it was not clear if there were any other casualties among the kidnap victims or the gang members.
The Air Force did not immediately respond to phone calls and messages seeking comment. The air strike could mark a breakthrough in efforts to dismantle criminal networks in northwest Nigeria, where armed gangs have terrorised rural communities for years
Source: Reuters