Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
Kwa muda wa majuma matatu tu, imetosha Kwa majeshi ya kikanda kundi la Burundi kuwakimbiza M23.
Ikiwa Awali kundi la Kenya lilianza na kuendesha operation katika maeneo kadhaa kabla ya lile la Burundi kuwasili mnamo March5 2023.
Baada ya kuwasili Kwa vikosi vya Burundi na kuanza operation Sasa M23 wamekimbia vibaya na kuomba meza ya mazungumzo zaidi ili kumaliza mapigano.
Majeshi zaidi ya kikanda yanatarajiwa Toka nchi wananchama wa East Africa Community.