Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,289
- 9,748
Nakumbuka Sana Mzee walisema wao wanaitana chafu chafu yani chief of staff [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] maisha bhna yanakwenda kasi sanaMzee alikuwa siku akiwa poa ilikuwa hadi unafurahi kuna siku nakumbuka anamuapisha Lt. Gen (Rtd) Y. Mohammed siku hiyo ilikuwa ni mwendo wa speech tu za maana nakumbuka Lt. Gen (Rtd) Samwel Ndomba alitoa madini ya maana kama watu wapo lecture room.
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app