Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
Wamalizwe hao wamezoeaKwa muda wa majuma matatu tu, imetosha Kwa majeshi ya kikanda kundi la Burundi kuwakimbiza M23.
Ikiwa Awali kundi la Kenya lilianza na kuendesha operation katika maeneo kadhaa kabla ya lile la Burundi kuwasili mnamo March5 2023.
Baada ya kuwasili Kwa vikosi vya Burundi na kuanza operation Sasa M23 wamekimbia vibaya na kuomba meza ya mazungumzo zaidi ili kumaliza mapigano.
Majeshi zaidi ya kikanda yanatarajiwa Toka nchi wananchama wa East Africa Community.
KDF wana puyanga tu.hatuja wahi sikia wamedanya ata shbulio la kushitukiza basi wao ni kuzurura tu pale DRC .....Kwa muda wa majuma matatu tu, imetosha Kwa majeshi ya kikanda kundi la Burundi kuwakimbiza M23.
Ikiwa Awali kundi la Kenya lilianza na kuendesha operation katika maeneo kadhaa kabla ya lile la Burundi kuwasili mnamo March5 2023.
Baada ya kuwasili Kwa vikosi vya Burundi na kuanza operation Sasa M23 wamekimbia vibaya na kuomba meza ya mazungumzo zaidi ili kumaliza mapigano.
Majeshi zaidi ya kikanda yanatarajiwa Toka nchi wananchama wa East Africa Community.
Mrundi anamjua Mnyarwanda jirani yake vizuri so anajua pa kumchoma vizuri aumieKwa muda wa majuma matatu tu, imetosha Kwa majeshi ya kikanda kundi la Burundi kuwakimbiza M23.
Ikiwa Awali kundi la Kenya lilianza na kuendesha operation katika maeneo kadhaa kabla ya lile la Burundi kuwasili mnamo March5 2023.
Baada ya kuwasili Kwa vikosi vya Burundi na kuanza operation Sasa M23 wamekimbia vibaya na kuomba meza ya mazungumzo zaidi ili kumaliza mapigano.
Majeshi zaidi ya kikanda yanatarajiwa Toka nchi wananchama wa East Africa Community.
Yule mnyampara ni balaa kwakweli.The only way to eliminate M23 ni kurudi kwenye mbinu ya BRIG GEN MWAKIBOLWA mbinu ambayo aliomba isiandikwe popote pale kwenye kumbu kumbu zozote zile.
Now day mkulima kwa wasaka nafasi za majeshi huyu mwamba hana ubaya niliwai kusoma shule moja kijana wake wa nje ya ndoa japo mm nilikuwa form 4 kijana wake alikuwa form 2Yule mnyampara ni balaa kwakweli.
Lakini MK-254 anatujia hapa kila kukicha kutwambia mapungufu ya jeshi la Urusi na Putin - hasemi chochote kuhusu KDF kubuma huko Somalia na Congo DRC yuko kimya kabisa.KDF wana puyanga tu.hatuja wahi sikia wamedanya ata shbulio la kushitukiza basi wao ni kuzurura tu pale DRC .....
Sema life yake yakibishi [emoji2]Now day mkulima kwa wasaka nafasi za majeshi huyu mwamba hana ubaya niliwai kusoma shule moja kijana wake wa nje ya ndoa japo mm nilikuwa form 4 kijana wake alikuwa form 2
Hii kauli umenikumbusha Rais Magufuli marehemu alipokuja Mbeya akasema mugonile Wanyampara nilicheka Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yule mnyampara ni balaa kwakweli.
[emoji23][emoji23] Mara nyingi hata katika vikao alikuwa anapendelea sana kutania hivyo tena wakikutana na Mzee M. MwakalindileHii kauli umenikumbusha Rais Magufuli marehemu alipokuja Mbeya akasema mugonile Wanyampara nilicheka Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Mzee alikuwa siku akiwa poa ilikuwa hadi unafurahi kuna siku nakumbuka anamuapisha Lt. Gen (Rtd) Y. Mohammed siku hiyo ilikuwa ni mwendo wa speech tu za maana nakumbuka Lt. Gen (Rtd) Samwel Ndomba alitoa madini ya maana kama watu wapo lecture room.Hii kauli umenikumbusha Rais Magufuli marehemu alipokuja Mbeya akasema mugonile Wanyampara nilicheka Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app