Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,289
- 9,748
Nakumbuka Sana Mzee walisema wao wanaitana chafu chafu yani chief of staff [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] maisha bhna yanakwenda kasi sanaMzee alikuwa siku akiwa poa ilikuwa hadi unafurahi kuna siku nakumbuka anamuapisha Lt. Gen (Rtd) Y. Mohammed siku hiyo ilikuwa ni mwendo wa speech tu za maana nakumbuka Lt. Gen (Rtd) Samwel Ndomba alitoa madini ya maana kama watu wapo lecture room.
Nakala kwa Jaluo ya Kisumu MK254Lakini MK-254 anatujia hapa kila kukicha kutwambia mapungufu ya jeshi la Urusi na Putin - hasemi chochote kuhusu KDF kubuma huko Somalia na Congo DRC yuko kimya kabisa.
Tupe utam hatukijui bwanaThe only way to eliminate M23 ni kurudi kwenye mbinu ya BRIG GEN MWAKIBOLWA mbinu ambayo aliomba isiandikwe popote pale kwenye kumbu kumbu zozote zile.
Ile mbinu hata baraza la usalama UN waliomba isitumike basi akaja na nyingine ambayo M23 hawataisahau. Infwakiti TPDF kwenye operation zake Kuna mengi ambayo hayajaandikwa na mengine hayasimuliwi vizuri ila ni hatari kuliko operation za vikosi vinginevyo vya majirani zetuTupe utam hatukijui bwana
Wanaibuka au wanaibuliwa na Kagame ?Wamalizwe kabisa safari hii, hakuna mazungumzo. Surrender or die! Kila mara mchezo wao ndio uko hivyo, kibano kikizidi wanakimbilia mezani alafu baada ya miaka kadhaa wanaibuka tena.
Turekebishe kidogo mkuu Ni General Mkunda.Hivi vikosi vya Burundi ni vikosi vinavyo pata fully training Toka TPDF kwenye nidhamu ya uwanja wa medani nadhani wanatumia mbinu za GEN NKUNDA ambaye alikuwa na BRIGADE huko magharibi wa TZ kabla ya kuteuliwa kuwa CDF
Naaam Lt. General (Rtd) Idd Gau.Nakumbuka Sana Mzee walisema wao wanaitana chafu chafu yani chief of staff [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] maisha bhna yanakwenda kasi sana
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app