Jeshi la China lafanya mazoezi zaidi karibu na Taiwan

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
China.JPG

Jeshi la China lilisema lilifanya mazoezi zaidi karibu na Taiwan siku ya Jumatatu wakati kundi la wabunge wa Marekani lilipotembelea kisiwa hicho kinachodaiwa ni himaya ya China na kukutana na Rais Tsai Ing-wen, katika kile Beijing ilisema ni ukiukaji wa uhuru wake.

Wabunge hao watano wa Marekani, wakiongozwa na Seneta Ed Markey, waliwasili Taipei kwa ziara ambayo haikutangazwa siku ya Jumapili, ikiwa ni kundi la pili la ngazi ya juu kuzuru kufuatia ziara ya Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani Nancy Pelosi mapema Agosti, ambayo ilianza siku kadhaa za Mazoezi ya vita yliyofanywa na China.

Kitengo cha kijeshi cha China kinachohusika na eneo lililo karibu na Taiwan,

the People's Liberation Army's Eastern Theatre Command kilisema kuwa kimepanga doria za pamoja za utayari wa mapigano na mazoezi ya mapambano katika bahari na anga karibu na Taiwan Jumatatu.

================

Angry China stages more drills near Taiwan as U.S. lawmakers visit

China's military said it carried out more exercises near Taiwan on Monday as a group of U.S. lawmakers visited the Chinese-claimed island and met President Tsai Ing-wen, who said her government was committed to maintaining stability.

The five U.S. lawmakers, led by Senator Ed Markey, arrived in Taipei on an unannounced visit late on Sunday, the second high-level group to visit following that of U.S. House of Representatives Speaker Nancy Pelosi in early August, which set off several days of Chinese war games.

The Chinese military unit responsible for the area adjacent to Taiwan, the People's Liberation Army's Eastern Theatre Command, said it had organised multi-service joint combat readiness patrols and combat drills in the sea and airspace around Taiwan on Monday.

The exercises were "a stern deterrent to the United States and Taiwan continuing to play political tricks and undermine peace and stability across the Taiwan Strait", it added.

The theatre command said the exercises took place near Taiwan's Penghu islands, which are in the Taiwan Strait and are home to a major air base, and showed close up video of the islands taken by a Chinese air force aircraft.

Tsai, meeting the lawmakers in her office, said China's exercises had greatly affected regional peace and stability.

"We are engaging in close cooperation with international allies to closely monitor the military situation. At the same time we are doing everything we can to let the world know that Taiwan is determined to safeguard stability and the status quo in the Taiwan Strait," she said, in video footage provided by the presidential office.

Markey told Tsai that "we have a moral obligation" to do everything to prevent an unnecessary conflict.

"Taiwan has demonstrated incredible restraint and discretion during challenging times," he added.

Source: Reuters
 
View attachment 2324953

Kama hawawezi kufanya chochote juu ya usalama wa PRC + ROC [ China ] ni bora wangekaa kimya tu na kuendelea kuzalisha yebo yebo huko viwandani kuliko kuendelea kujitia zaidi aibu kwa dunia na kuonekana Super power hewa asiye weza kulinda mipaka ya nchi yake.

# DHARAU KAMA HII HAUWEZI KUMUONESHEA RUSSIA HATA MAREKANI MWENYEWE ANAJUA HILO WAKATEMBELEE CRIMEA BILA RUHUSA YA RUSSIA KAMA NYIMBO ZA MAPAMBIO HAZIJAIMBWA.
 
kwahiyo china wakiona tu mbunge wa 🇺🇸 ametembelea taiwan wanasogea baharini wanafanya mazoezi halafu wanarudi sio?.
 
Back
Top Bottom